Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Hivi yule ni binti au mama wa watoto wawili?!Tumuache Hamisa wetu aitumikie Ndoa yake changa, maana sio jambo la kawaida Binti kuolewa na Fuso mbili za ng'ombe kama mahari
After all, si unajua wale ng'ombe wapo njiani saivi wanapelekwa ukweni Musoma 😜
Bata gani?Acha ujinga mzee. Azizi kijana wa bush. Kumpata binti wa Town kama yule ni ufahari kwake. Kula meza moja na wakina Rick Rozeee si mchezo ingawa kuna kaujinga fulani. Acha kijana ale bata
Kisha ndipo uje Maghettoni nilipo ili 'Nikubandue' vizuri au?
MweusiBata gani?
Hongera kwa kulijibu hilo Pumbavu.Wewe umefanya nini hapa? Au ndo umeshatangaza biashara tayari?
Watoto wa Mjini na Wazee wa Taarifa Nyeti tunajua kuwa Boss wake Aziz K hapo alipo na anayemlipa mshahara anambandua huyo Mkewe Mbichi. Na bora apite nae kawaida ila Boss anajulikana sana kwa kupenda kupita 'Vumbi Road' hadi Wanawake wa Tabata Mawenzi hawana hamu nae.Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ile ilikuwa ndoa kweli ya Aziz K na Misa. Naona viini macho vilianza toka mke wa kiongozi wetu wa timu, ajue ndiyo ukaribu wa A na M ukaanza.
Kwenye ndoa Misa anamuonea aibu E na anajifunika E akiwa anamuangalia, badala ya kumuonea aibu AK mumewe. Hapo kazingwa mkewe na E, aambiwe si nilikambia alikuwa akitoka na AZ na ndoa wamefunga. Siku mtarudi kwenye hii comment.
Na nasikia anatoa kwani hata Mumewe wa Kwanza ''Bosi Redio'' ni Mdau mkubwa wa huko japo Mkewe Bety anavumilia tu.Nafikri ndiyo mara ya kwanza kupewa ndogo ndiyo imemzuzua mwenyewe kaona ni kitu adimu sana.
EHSYaan kama kuna mtu anamzunguka azizi k huyo hata stukiwa kirahisi mpaka pale azizi k atakapo staafu soka. Maana hiyo njemba inayo mla mobeto yeye kazi yake ni kucheki lineup ya yanga kama Mwamba kaanza na kikosi au yuko sub, wakisha thibitisha yuko kikosi na wao gemu yao inaanza baina ya hiyo njemba na Mobeto caros
Ndiyo utanipanulia vizuri?Kanywe dawa zako bana.....
Mbona na wewe umechangia kwa hiyo na wewe wahuni wanakufokoa?Hii thread imejaa umbea mtupu nahisi inafaa zaidi wakina mama kama kuna mwanaume kachangia comment hapa bac jua wewe ni mchicha mwiba
Safi sana Mkuu kwa hili Jibu ulilompa.Mbona na wewe umechangia kwa hiyo na wewe wahuni wanakufokoa?
Kwa hiyo wewe uliye naye ni wa peke yako? Jibu swali usikae kimya"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.
Chanzo: minotv_tz
Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke ambaye si tu Kazaa bali ameshazalishwa na Wanaume wawili huku tena Kisirisiri bado anakutana nao kwa Kupasha Kiporo.
Na kwa Sisi wenye Saikolojia Kali ya Asili (Kuzaliwa nayo) si ya Kusomea tunajua kuwa ukiona Mwanamke wako (Uliyemuoa) anakuambia kuwa hana Shida ya Wewe sijui Kumuolea Mke wa pili au hata akiambiwa una Mahawara Nje wala Hajali jua ya kwamba nae pia Anabanduliwa kisawasawa hivyo hapo Watu wa Betting (Kamali) tunamalizia kwa kusema kuwa hiyo ni G - G yaani both Teams to Score.
Kudadadeki Aziz K hakuna Rangi utaahcha kuiona kwa huyo Mkeo ambaye hata akulipae Mshahara TZA anambandua.
Kwa sisi Wazee wa mwaka 47, yule bado yupo kwenye Rika la binti.Hivi yule ni binti au mama wa watoto wawili?!
Labda Mimi ndio sielewi maana ya neno binti.
Nipo nami mkuu kwa Sasa naona kila rangi yani Nina zigo la misumari nimegundua wazee Wana thamani sana kuwauliza kuhusu jambo flaniAziz K sijui nani Alimroga ajae mazima hapo alipojaa.