Nakuomba tuliza Akili yako na niambie kwa hii Kauli ya Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto umegundua nini kilichojificha?

Hii thread imejaa umbea mtupu nahisi inafaa zaidi wakina mama kama kuna mwanaume kachangia comment hapa bac jua wewe ni mchicha mwiba
Kumbe na Wewe pia hujachangia hivyo hufai kuitwa Mchicha Mwiba. Kuna Watu ni Wapumbavu hapa duniani na sijui ni kwanini Covid-19 hakuondoka nanyi ili mpungue.
 
Aziz K alioa wadada wote wa Dar maana wote walikuwa na muonekano wa bibi harusi. Ila wanaume wamemkasirikia mwamba
Inashangaza sana.
Wanasema hamisa katoka na wanaume wengi, ni kwasababu ya umaarufu wake ndio maana tumejua. Ila hawa wanaomponda, wake/wapenzi zao wakiorodhesha idadi ya wanaume waliowahi kutoka nao nahisi Hamisa atakuwa ana afadhali
 
Point
 
Huyu mlimbende ni mzuri kila mwanaume mwenye kujua uzuri wa mwanamke anavutiwa naye kimapenzi/kimahaba. Cha kufanya Azizi Ki azae nae fasta asije akala hasara ndoa ikivunjika bila kupata mtoto. Kama alipenda nyashi tu itakula kwake, huyo demu ni mtata kimahusiano ya kindoa
 
Na kwa Sisi wenye Saikolojia Kali ya Asili (Kuzaliwa nayo) si ya Kusomea tunajua kuwa ukiona Mwanamke wako (Uliyemuoa) anakuambia kuwa hana Shida ya Wewe sijui Kumuolea Mke wa pili au hata akiambiwa una Mahawara Nje wala Hajali jua ya kwamba nae pia Anabanduliwa kisawasawa hivyo hapo Watu wa Betting (Kamali) tunamalizia kwa kusema kuwa hiyo ni G - G yaani both Teams to Score.
Umesomeka Mkuu
 
Kuoa mwanamke ambaye kila mwanaume mwenye pesa ameshamvua chupi, inahitaji moyo sana.

Unakuwa Huna uhuru wa kutamba nae maana amejaa shahawa za wanaume unaowajua.
Huwa zinabaki kwani? Hata wanawake mnao kuwa nao ambao sio maarufu unakuta wamegongwa gongwa weee na countless men kwaivo usimchukulie hamisa malayer saaana ukasahau wanawake wenu wa mtaani
 
Mimi nitakuwa mtu wa mwisho kuamini ile ilikuwa ndoa kweli ya Aziz K na Misa. Naona viini macho vilianza toka mke wa kiongozi wetu wa timu, ajue ndiyo ukaribu wa A na M ukaanza.

Kwenye ndoa Misa anamuonea aibu E na anajifunika E akiwa anamuangalia, badala ya kumuonea aibu AK mumewe. Hapo kazingwa mkewe na E, aambiwe si nilikambia alikuwa akitoka na AZ na ndoa wamefunga. Siku mtarudi kwenye hii comment.
 
Mahusiano yao hamyajui, hamjui wamependana vipi, undani wao hamuujui, ila kutwa, kuchwa kusemea ndoa za watoto wa watu waacheni wawe, ndoa idumu, ivunjike ni wao, msisahau pia wao ni binadamu kama wengine wanavoingia wanaweza au wanashindwa!
Jifunzeni kuishi maisha yenu maana wao wanaishi ya kwao ila mmeacha yenu mnapoteza muda kuwafuatilia sjui yenu mnafanya sa ngapi
 
Aliyeanzisha huu uzi kama ni mwanaume bac kashaleft group, ni aibu mtoto wa kiume kuacha kufikiria mambo ya msingi unaanzisha thread ya kuchambua ndoa za watu. Huyu jmaaa nahisi ni yai viza tena la bata.
 
"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.

Chanzo: minotv_tz

Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke ambaye si tu Kazaa bali ameshazalishwa na Wanaume wawili huku tena Kisirisiri bado anakutana nao kwa Kupasha Kiporo.

Na kwa Sisi wenye Saikolojia Kali ya Asili (Kuzaliwa nayo) si ya Kusomea tunajua kuwa ukiona Mwanamke wako (Uliyemuoa) anakuambia kuwa hana Shida ya Wewe sijui Kumuolea Mke wa pili au hata akiambiwa una Mahawara Nje wala Hajali jua ya kwamba nae pia Anabanduliwa kisawasawa hivyo hapo Watu wa Betting (Kamali) tunamalizia kwa kusema kuwa hiyo ni G - G yaani both Teams to Score.

Kudadadeki Aziz K hakuna Rangi utaahcha kuiona kwa huyo Mkeo ambaye hata akulipae Mshahara TZA anambandua.
kwa namna ulivoandika hapa inaonyesha kama inakuuma sana kwa Aziz kumchukua Hamisa kwa jumla. Hivi kwani Aziz ni ndugu yako au jamaa yako? Si mwachie mwenyewe na maamuzi yake? Unadhani kaoa bila ya kujua histry ya Hamisa?
 
"Aziz K kama atataka Kuona Mke wa pili Mimi Hamisa Mobetto nipo tayari kabisa kwani hata Dini yetu inaruhusu'' amesema Mke Mbichi wa Aziz K Poti wangu Hamisa Mobeto.

Chanzo: minotv_tz

Na ndiyo maana kutwa huwa Nawadharau mno Wanaume ambao wanafanya Kosa hili la Kiufundi la kwenda Kuoa Mwanamke ambaye si tu Kazaa bali ameshazalishwa na Wanaume wawili huku tena Kisirisiri bado anakutana nao kwa Kupasha Kiporo.

Na kwa Sisi wenye Saikolojia Kali ya Asili (Kuzaliwa nayo) si ya Kusomea tunajua kuwa ukiona Mwanamke wako (Uliyemuoa) anakuambia kuwa hana Shida ya Wewe sijui Kumuolea Mke wa pili au hata akiambiwa una Mahawara Nje wala Hajali jua ya kwamba nae pia Anabanduliwa kisawasawa hivyo hapo Watu wa Betting (Kamali) tunamalizia kwa kusema kuwa hiyo ni G - G yaani both Teams to Score.

Kudadadeki Aziz K hakuna Rangi utaahcha kuiona kwa huyo Mkeo ambaye hata akulipae Mshahara TZA anambandua.
Si kaoa kuweka mambo salama.........
 
Back
Top Bottom