Nakuomba tuliza kabisa Akili yako kisha tumia D mbili kama ulisoma Cuba au Israeli kama Mimi kisha sema hapa Waziri Gwajima kamaanisha nini hasa?

Mheshimiwa Dr Gwajimad Haa Amefika Kwenye Thread Hii

Kumeanza Kuchangamka Sasa, Bila Shaka Arusha Nako Moto Moto
 
Nimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Mheshimiwa Waziri haujabakisha hata Mdogo wako wa Kike ili anipe pia Upendo wenu wa Kurithi kama ulionao kwa Mumeo ili nami GENTAMYCINE niupate kutoka Kwake?

Ni Wanawake wachache sana wenye Upendo wa dhati kama ulionao kwa Waume zao na kama wakikupenda kama umpendavyo Mumeo jua muda wowote Mzinga wa kuombwa Hela ya kulipa Vicoba unakaribia.
 
Haya yamekuja baada ya kupigwa spana na Ustadhi Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa na Baba mkwe wake kuingilia.

Mama Vick akarudisha panga harani mwake ili kulinda ndoa, heshima na jina lake kwani alikatazwa hata kuitwa Gwajima. Sasa kawa mama Vick na Mrs. Gwajima kweli kweli. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Chezea Shehe Rashid mzee wa fitina a.k.a Mkono wa Baunsa.
 
Kwa hiyo mama Gwajima alitamka hayo kwa sababu zipi?

Maana inaonesha ni kama alikuwa akijibu hoja au kutolea ufafanuzi jambo fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…