Sax
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 3,578
- 6,740
Mkuu kongole ukifika geneva pambania solve ile case ya benezeth vs mimutie women organization tunategemea busara zako.Nimeshafika nawaona tu hivi
N.B:Nisalimie Vicky
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kongole ukifika geneva pambania solve ile case ya benezeth vs mimutie women organization tunategemea busara zako.Nimeshafika nawaona tu hivi
Arusha kumekuchaNimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Mheshimiwa Waziri haujabakisha hata Mdogo wako wa Kike ili anipe pia Upendo wenu wa Kurithi kama ulionao kwa Mumeo ili nami GENTAMYCINE niupate kutoka Kwake?Nimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Kwani yeye ni Mungu au Yesu Kristo asisome?Imagine Mhe. Waziri Dkt. Gwajima D amelazimika kusoma hapa.
"Unabaki na kitenge"!nimesisimkwa sana na hiyo laini!na ulivyo na shape!aiseh!we kweli umekamilika kama 4Rs za mama!Nimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Subhanallah!!!!!!!"Unabaki na kitenge"!nimesisimkwa sana na hiyo laini!na ulivyo na shape!aiseh!we kweli umekamilika kama 4Rs za mama!
Hili Dishi lishaanguka chini kabisa ni kazi kulipandisha na kulisetFundi kasema akimaliza kukuletea hilo Dishi angependa pia Umpanulie ili aweke vyema Dikoda uliko mwelekeo wa huo Mpanuo wako.
Kwamba dish la Popoma limeyumba?Fundi dish popote ulipo Nina shida nitafute dish la azam
Aisee kaja kweliNimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Kumbe Mh Gwajima Upo? Natafuta namna ya kukufikia, soon nitafikisha ujumbe wangu ofsini kwako au Wizarani. Mimi nakutakia majukum mema MheshimiwaNimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee
Haya yamekuja baada ya kupigwa spana na Ustadhi Rashid a.k.a Mkono wa Baunsa na Baba mkwe wake kuingilia."Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima
anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu anazijua na najua watoto wangu wapo wapi.
Mume wangu kaona vipaji vyangu na mimi nimeona vyake tukashirikiana na kusaidiana, sina haja ya kuringa sababu mimi Waziri na yeye sio waziri.
Nikiwa nyumbani mimi ni Mama Vicky na navaa kitenge changu" Mhe. Dkt Dorothy Gwajima ni waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Chanzo: JamiiForums
Kila nikirudia kusoma hiki alichokiandika hapa kuna mambo kama Matatu Matano hivi ninayaona. Mumewe aringe tu!!!
Nimeshafika nawaona tu hivi 😳😳😳, karibuni Arusha 8 Machi, kucheleeee