Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Sijui TUNDU LISU atajinadi kwa sera zipi maana kila kitu kimesha tekelezwa na Mwanajeshi kamili MAGUFULI sio yeye Tundu Lisu sungusungu
Ukiambiwa una akili kisoda utabisha?
 
Hatuwezi kuishi kwa shida hivi na vitisho kibao vya kipumbavu halafu umfokee Lissu asiehusika.

Lisu ndie aliwaambia mteke watu
Lisu ndie aliwaambia muwaonee watumishi/walimu
Lisu ndio nawaambia mumpoteze Ben jingawewe.

Nyie wadanganyeni hao wasanii mliowapa hongo hapo taifa ilamjue hatusahau tulikotoka.mmeliesa taifa miaka mitano hatuwezi kuvumilia msoto mwingine wa miaka mitano.
 
Tukishawaondoa tunamkabidhi nani? Uraisi hausomewi lakini tunahitaji mtu makini ,serikali makini na chama makini.Je wapizani wameishajipanga kutwaa dola?
 
Lissu nahisi atakuwa anaotwa kila wakati mtaa wa Lumumba.
 
Ondoa shaka, TL hana ubavu wa kuleta machafuko kama uma haupo pamoja naye.
 
wapi lissu aliwahi kusema kuwa kama atadhindwa hatakubali?

Alisema kuwa AKINYANG"ANYWA USHINDI HATAKUBALI Akasema pia AKISHINDWA KIHALALI ATAKUWA WA KWANZA KWENDA KUMPONGEZA MSHINDI.
Lisu ampongeze Magufuli!!!!! Haiwezi kutokea
 
Pumbavu kabisa Wewe, kati ya Lissu na yule Fala aliyetuma Majambazi yake yampige Lissu risasi 38 nani anasababisha vurugu?
 
Kundule lako wewe jamaa!
 
Juzi kwenye mazishi ya Mkapa jamaa yenu alichelewa muda wa saa 4 kwa sababu ya afya mgogoro,
Mziki wa lissu ataumudu? Tutarajie ile betri kuzima muda wowote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…