Uchaguzi 2020 Nakuonya Tundu Lissu kuelekea uchaguzi mkuu 2020

Nakuonya mkenya lissu ukijiroga ukaanzisha fujo baada ya kubwagwa kwenye uchaguzi hatutokuwa wazembe tutawarusha kwata kweli kwelj
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani...
Yaani upinzani shida yao wanadhani wanaweza kushika dola kwa mabavu!!
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani...
Acha ujinga, tunataka kukuona ukiuza sera ya chama chako, ni ruksa pia kuchallenge kwa hoja sera za mpinzani wako.

Sasa ninashangaa umeshindwa kufanya wajibu wako huo umebaki kumtishia mtu. Hiyo unayofanya ni jinai sio siasa.

Wafuasi wa Lisu nao wakiandika wanamuonya mgombea wa chama chako utajisikia sawa.

Mawazo na vitisho vya kipumbavu kabisa. Watu aina yako ndio wanaorusha mawe kwenye mikutano ya wengine.
Tuondolee hofu na mawazo ya kijinga hapa. Tunahitaji kusoma hoja zako na challenge zako kwa sera za wapinzani wako na sio vitisho hapa
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani...

Kwa hiyo wewe umemhurumia sana Lissu kuliko hata kama yake mzazi?

Mapenzi ya namna hiyo hayana tofauti na mapenzi ya mamba kwa binadamu anayetaka kumvuka mto!
 
Hivi kweli kabisa waTz na akili zao timamu wakampigie kura TUNDU LISU na ule uchizi uliomja kichwani?

Hilo Jambo halitoweza kutokea milele daima
Je anayemuoza mama yake kwa kuku akili zake ziko sawa? Mbona ni Boss
 
Katika kuelekea uchaguzi mkuu mwaka huu imekuwa kama desturi kwa maadhi ya vyama vya siasa kikiwemo CHADEMA kuendeleza siasa zenye mrengo wa vurungu na uvunjifu wa amani..
Dunderhead aliyeanzisha vurugu msafara wa Lissu kuvamiwa Hai alikuwa Tundu Lissu ? We bipolar disorder Ni mzima kweli ,tume ya uchaguzi itende haki Tena kwa uwazi msmbo ya ujinga wa mwaka jana uchaguzi wa serikali za mitaa haukubaliki tena ,tendeni haki amani itakuwepo msipotenda mmetuchosha haki itapiganiwa .
 
Hata kama unaandika kwa ushabiki lakini hakuna unayeweza kumpotosha kwanza Lissu alisema hatakubali kushindwa kwenye uchaguzi huru na wa haki ila kama hautakuwa huru na wa haki kama vile kutumia mbinu chafu za kuengua wagombea kama ilivyofanyika serikali za mitaa hata sisi wananchi tutaungana na Lissu kutokubali.

Ila kama kuna chombo kitasababisha vurugu ni jeshi la polisi kuzuia wananchi kuwasindikiza wagombea wao kwenda kuchukua fomu au kurudisha fomu. Kila siku sijui kibali cha maandamano ni lini polisi wamewahi kutoa kibali cha watu wa vyama vya upinzani kuandamana kama inavofanyika kwa CCM.

Hiyo double standard ya hiki chombo chetu ndiyo itakayoleta machafuko na kama kuna haja ya kukemea ni kwa jeshi letu la polisi kufanya kazi yake ya kulinda watu na mali zao badala ya kuzuia watu kuongozana na wagombea wao. Hivi wakiwaacha watu wawasindikize wagombea wao kunapungua kitu gani.

Wote tumeona tangu Lissu amefanya ziara katika mikoa ya singida, shinyanga simiyu na mara watu wengi wamempokea lakini hakukuwa na shida yoyote ile hata siku amerudi watu wengi walijitokeza lakini hakukuwa na shida yoyote ile kwakuwa polisi hawakuingilia hiyo misafara wangeingilia huenda watu wangekufa.

Ni vema tukatumia mitandao ya kijamii vizuri kuniomba jeshi la polisi lisipambane na wananchi badala yale litekeleze wajibu wake wa kuwalinda wananchi wawe wanakwenda kuchukua au kurudisha fomu au kwenda kwenye kampeni muda ukifika.
 
Ila nashangaaga Sana chadema ni kwa Nini zile drama wanazo fanyaga kina zitto,lema na sugu za kujijengea mikakati ya kujikamatisha,kuchoma ofc zao na kuvamia misafara yao hawazioni

Kwani jeshi la polisi linashindwaje kufanya upelelezi na kuwakamata ukiona hawajakamatwa ujuwe hawajahusika maana CCM ndiyo yenye serikali iliyoko madarakani.
 
Acheni woga ccm bado hata kampeni hazijaanza mnaweweseka hivyo, je kampeni zikanza itakuwaje?
 
Ukweli wa mambo tuache kudanganywa Lissu hafai, endelea

Nimependa tu hapo kuwa "Benard Membe atarudi tu kama Lowassa hamjui historia ya ACT". Asante Katambi kwa kuwa mkweli, tuwagawe wagawanyike tupite kilaini tukichekaaa sie.

CCM mbele kwa mbele
 
mkuu onyo ni msumeno na hukata pande zote ni kama sheria, hakuna haja ya kuonya upande mmoja wa lissu , onya wagombea wote na tena onyo kuu liwe hivi .....................mgombea yoyote atakae shindwa akubali matokeo haraka katika uchaguzi ambao ni huru na wa haki , utakua umefanya jambo kubwa sana sio toa onyo ya vitu vidogo dogo ambavyo vimekaa ki propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…