Nakupa chimbo la raba hii Kariakoo, elfu 10 tu bei ya jumla

Nikuuzie yangu elfu 70 mkuu 🧐
Imani ushatoka kabisaa torch 🔦 inawaka Hadi inakuunguza lkn haidumu sijui Zina shida Gani nilichukua 3. Zingine nikapeleka kijijn Kwa mzee wangu nikabaki na Moja ya kwangu ndo kidogo Ili duma dumu kiaina.

Nahitaji Google pixel 6pro nilinunua 4a screen ikaharibika nikaambiwa bila270k nikanye nikalale Hadi Sasa ipo Kwa beg tu nasikilizia
 
Hizo sim ukizitaja mkuu nachefukwa sana. Sina ham
 
Huu uzi baada ya kupata bei wadau wajikite hapa kujua namna ya kufungua pattern sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…