Nakupa Siri ya kuwapata wadada wa kichaga

kuhonga mara 1, mara ya pili na kula mzigo, mara zote hizo za nini? what she carries is free, why unahonga sanaaaaaaaa
 
Mku mi sikubaliani nawe hamna mwenye mapenzi kama wadada wa kichagga mi mpenzi wangu wa kwanza alikuwa mchagga na alikuwa ananinunulia nguo na perfume na tukitoka siku zingine analipa yeye
 
Mku mi sikubaliani nawe hamna mwenye mapenzi kama wadada wa kichagga mi mpenzi wangu wa kwanza alikuwa mchagga na alikuwa ananinunulia nguo na perfume na tukitoka siku zingine analipa yeye

how was her means of transport a.k.a mbigili
 
Kuhusu kupenda hela kila mwanamke anapenda hela siku hizi msiwasingizie wachagga tu.
 
acha uwongo bwana hii topic inawafaa watu wa std 7 na sii great thinkers. wachaga hawako after money wanapenda maendeleo.we kama ulitaka mtu wa kumaliza nae siku kwanini usingeenda pale makaburini kinondoni? una ushahidi au unataka kufurahisha wanajf? siku hizi kila mwanadada anataka maendeleo hivo ukimtaka lazima ajue mwelekeo wako wa kimaisha. we unataka zezeta tu ili umchezee ama? kweli wewe msandawe mnawaza tu ngono suala la maendeleo halipo kwenu au vipi???? tembelea uchagani ujionee maendeleo utajua ni kwanini watoto wa kike wanasomeshwa kwa wingi.
 
mara shape less, mara miguu sijui imakaaje, sasa mmeenda kwenye ugumu wa kutongozeka. hamchoki tuu kutujadili? hii inamaana kwamba, sisi (wachagga) ni watu wa muhimu sana katika nji hii!!!!
wachaga hoyeeeeeeeeeee! tuko juu kama ndege ya nani vile?!!
 
Mku mi sikubaliani nawe hamna mwenye mapenzi kama wadada wa kichagga mi mpenzi wangu wa kwanza alikuwa mchagga na alikuwa ananinunulia nguo na perfume na tukitoka siku zingine analipa yeye

Katika msafara wa mamba, pia kenge wamo. Labda ulibahatika kumpata kenge
 
Wewe mkibosho nini. Maana hao ndio hatari kweli kweli
.
 
mara shape less, mara miguu sijui imakaaje, sasa mmeenda kwenye ugumu wa kutongozeka. hamchoki tuu kutujadili? hii inamaana kwamba, sisi (wachagga) ni watu wa muhimu sana katika nji hii!!!!
wachaga hoyeeeeeeeeeee! tuko juu kama ndege ya nani vile?!!

ndeye ya osama enzi zileeee
 
Basi lazima ni ufala wa wasukuma ndio mnapendaga, maana kama kuna wanawake wanapenda kuendesha wanaume wachaga wanaongoza.

Mkuu mbona unatukana tena...au kawivu kuckia wanaume wasukuma wanapendwa na kweli wanatrue love bana. Acha hizo..Wana jf mnipige tafu kwa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…