Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Nurse hospital za serikali (Community Health) analipwa Tshs 315,000/= kabla ya makato. Daah mpaka nimemuonea huruma, kwa hali hiyo sidhani kama atapata mwanaume, bora angekushawishi kwa kuonesha malengo yake ni kwa namna gani ataweza kuondokana na utegemezi.
Hawa viumbe wana shida sana, kuna mmoja alilia sana kwangu anahitaji mtaji kama 200,000/= nikampa kwa ajili ya kuanzisha kibanda cha chips, lakini alifungua wiki mbili tu akaanza tena kulalamika. Nimekimbia wala sitaki hata kuonana nae, maana nageuzwa tena zezeta

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story🙄
Danga Danga mwisho ufe×4
Repeat chorus
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo anataka awe demu wako au anataka umuajili?

Wewe kama unaweza kumpa hizo pesa mpe kama huwezi acha

Wavulana mbona hamna vifua aseee!jambo dogo kama hili umeshindwa kabisa kulimezea,tena ni same old story🙄
Doh!! Kwahiyo sifa ya uwanaume ni kitoa tu mishahara namna hiyo au sio bidada?!
 
We mpe hela kama we ni mwanaume, kama pesa huna na uvulana bado unakusumbua kuwa na wa level yako...laki3 kitu gan kwani
Kwahiyo huu ndio uwanaume Sasa demu akisema tu basi we unagawa tu mshahara!?
 
[emoji38][emoji38]Angalau laki 3[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]#nafwaaa
 
Wenzio iyo laki3 iko kama efu20 ktk marupurupu yake na anaitoa bila hata kuhisi kama kuna mahali ametoa
Sasa angewatafuta hao kina Bahresa sio mimi siwezi nunua mapenzi kwa namna hiyo 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…