Nakupenda sana baby ila kila mwezi utanipa laki tatu (3)

Uko sahihi mkuu
Mfano unakuta mtu hata hiyo laki tatu kuipata kwa mwezi ni mbinde mtu unapambana unajibana unajinyima nk
Kumbuka pia ana ndugu wenye shida za hapa na pale
Halafu mtu anakuja eti mpe hela we mpe hela kwani mahisiano ni kazi? Kama kutombn raha si wanapata wote?? Na kama mtu unaona hiyo hela ni rahisi namna hiyo si akaitafute na yeye

Mambo mengine ni kujiendekeza aisee
 
Ukienda jando utaelewa.
Ndio nakwambia hakuna jando linalo fundisha watu kununua K sijui huko unyagoni kama mnafunzwa kuuza K labda ila jandoni hakuna kitu cha namna hiyo.
 
Acha maneno mengi bwana, we toa pesa bwana!
Kwa mkataba wa laki 3 kwa mwezi!!?

Najua hauko serious sababu naamini wewe huwezi fanya hivo 😂.
 
Ndio nakwambia hakuna jando linalo fundisha watu kununua K sijui huko unyagoni kama mnafunzwa kuuza K labda ila jandoni hakuna kitu cha namna hiyo.
Kwa mkataba wa laki 3 kwa mwezi!!?

Najua hauko serious sababu naamini wewe huwezi fanya hivo [emoji23].
Jando gani kwani mwenzetu unahudhuria unakofundishwa vitu vya ajabu hivyo!! Achana na jando la jf.
 
Jando gani kwani mwenzetu unahudhuria unakofundishwa vitu vya ajabu hivyo!! Achana na jando la jf.
Kwani hapa ulikuwa unataja jando gani mana wewe ndio ulikuja na hayo majando yako kadada au si wewe huyu?
Turudishe jando aisee, hivi vitoto vya kiume vya siku hizi mbea wao, kudanga wao, majungu wao, kulia lia wao!! Sijui hata tunakosea wapi kuvilea[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Mimi nilikujibu ulicho andika hapa.

Okay tuachane na hilo, vipi na wewe huws unapanga mishahara.?
 
Kwani hapa ulikuwa unataja jando gani mana wewe ndio ulikuja na hayo majando yako kadada au si wewe huyu?

Mimi nilikujibu ulicho andika hapa.

Okay tuachane na hilo, vipi na wewe huws unapanga mishahara.?
Sidate mtoto ambae hadi nimpangie, anayajua majukumu yake.
 
Mtafutie kazi za kukusanya parking fee nadhani wanalipwa laki, alafu baada ya hapo futa namba yake.
 
Bora niitwe mvulana na ikibidi mwanaume suruali lakini siwezi kukipa kiumbe cha kike mia tatu
 
Sidate mtoto ambae hadi nimpangie, anayajua majukumu yake.
Okay basi wewe utakuwa huuzi ila huyo mwenzenu yeye yake ina bei na kiwango chake cha chini laki 3.!!

Safi sana usijipimie usije kujipunja mwenyewe kadada.!
 
Zinaa na uasherati ni dhambi ambayo humtafuna Mwanaume mara mbili ndiyo maana imeandikwa hivi:
"mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa, afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake". Mithali 6:32.

Iko hivi, unapojihusisha na zinaa unaingia gharama mara mbili, kwanza, unapoteza pesa bure na pili, unapoteza "nafsi" yako maana kila "nafsi" inayofanya "zinaa" itaangamizwa kwenye moto wa milele.

Hapa mwanaume unakuwa umepata hasara mara mbili. Ndiyo maana Biblia ikasema, "afanyaye zinaa na mwanamke hana akili kabisa".

Mwenye masikio na asikie.
 
Huyo ni malaya anajiuza. Hakuna cha wavulana wala sijui hela ndogo hiyo laki 3!
 
Okay basi wewe utakuwa huuzi ila huyo mwenzenu yeye yake ina bei na kiwango chake cha chini laki 3.!!

Safi sana usijipimie usije kujipunja mwenyewe kadada.!
Hana kazi, akapiga hesabu akaona angalau laki tatu inaweza kumtosha kwa mahitaji yake. Na kumbuka wewe ndio uliyachokonoa yote hayo na ukajibiwa. Sijaona tatizo la binti, tatizo naliona kwako, maana ulikuwa unamchokonoa kwa lengo la kupata mada ya kuanzisha jf.

Kiasili mwanamke ameumbwa kutunzwa, ndio maana unona hata tukiwa na kazi zetu bado tunataka mtuhudumie. Na ikitokea tukahudumia sisi basi tarajia masimango maana sio asili yetu.
 
"Hana kazi akapiga hesabu akaona laki 3 inamtosha"
Aisee !!!
Kwahiyo ieleweke rasmi kuwa mwanamke akikosa kazi basi K ndio iwe ajira yake!!?
Am sorry ila huo ni umalaya/ ukahaba tu.

Naam uko sahihi mwanamke kuhongwa nikawaida sana ila ukisha panga bei maalum tu basi hapo sio kutunzwa tena bali huo ni ukahaba na ndo utadharaulika mazima hata kama mwanaume alikuwa nampango wa kukupa chochote basi ujue ndio imeisha hiyo.

Labda Kama ataona sawa anunue tu kuepusha usumbufu ila akilini kwake atakuweka Kama Malaya muuza K tu basi na si vinginevyo.

Japo muuza k na mnunua k wote ni Malaya .😂
 
kwa hiyo hiyo laki tatu utakuwa wasasambua mbususu mara ngapi kwa mwezi? vipi anaruhusu kusasa mbuliwa ata wakati wa siku zake?
kama yupo tayari kwa hio nipigie pande
 
Well put.

Couldn't say it better.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…