Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Asante sana mdaka chozi ake auntie... Nimeelewa mimi jamaniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mdaka chozi ake auntie... Nimeelewa mimi jamaniii
huku asifikeAbaki huko huko
Uko ya ngapi mdaka chozi
Hata sijajua ila siyo nyingi sanaUko ya ngapi mdaka chozi
Labda inawezekana ungebadili ID, angekufikiria, Ila zero IQ ....? Nahisi utasubiri kiaina..[emoji847][emoji847][emoji847]
Sio kuoza tu bali nimeoza na kukauka kabisaa[emoji3][emoji3]Mtende naamini wewe ndiwe uliyekufa umeoza kabisa kwa mwenye mali
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahaha hahaha
Wapi huko eti
Mtoto wa kaka yako kafungua uzi kwa ajili yako unmask ID yako akuamkieNasoma comments tuu mimi
Hahaha hahaha hahahaKuna jamaa kafunhua uzi anadai hana hali kabisa akiona jina lako humu jamvini
Sent using Jamii Forums mobile app
MmmhMtoto wa kaka yako kafungua uzi kwa ajili yako unmask ID yako akuamkie
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjina mrefu amefungua uzi anakutamani kimapenzi. Nadhani hajui kuwa wewe shangazi yake. avatar imemchanganyaMmmh
Sijaelewa mkuu
OooohMjina mrefu amefungua uzi anakutamani kimapenzi. Nadhani hajui kuwa wewe shangazi yake. avatar imemchanganya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hajakuamkia basi m-m m nani hiiOoooh
Atakuwa kadata na avatar tuu huyo!
Anamtamani shangazi yake kweeli?!
Hahaha hahaha hahaha
Hahaha hahaha hahaha
Nitamfinyaaaa