Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Unapoandika historia ya maisha ya mtu (kiongozi) ni lazima uguse pande zote.Hicho andika ww. Sisi tunataka hicho cha udictator wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapoandika historia ya maisha ya mtu (kiongozi) ni lazima uguse pande zote.Hicho andika ww. Sisi tunataka hicho cha udictator wake.
Nakutakia biashara njema,Usisahau kutuletea mrejesho.Nitaanzia nchi ya akina Piraa halafu kitakuja hapa
Unapoandika historia ya maisha ya mtu (kiongozi) ni lazima uguse pande zote.
Aiseee 😂😂😂😂😂Mkuu usisahau kuandika kuwa magufuli hakupenda kufanya kazi na watu wenye akili timamu ila maxombie na maroboti kama Kabudi
Hicho chake kinachogusa upande mmoja tu hakitakuwa kitabu ila kijarida cha kupakana matope.Cha kwake hakizangitii hayo matamanio yako. Ww andika chako kuzingatie hizo terms zako.
Hicho chake kinachogusa upande mmoja tu hakitakuwa kitabu ila kijarida cha kupakana matope.
Kama kupakana matope ndiyo lengo lenu, basi jiandaeni kufeli.Sisi tunataka hicho kijarida cha kupakana matope. Ww uandike kitabu cha kumpangusa matope.
Duu!Mkuu usisahau kuandika kuwa magufuli hakupenda kufanya kazi na watu wenye akili timamu ila maxombie na maroboti kama Kabudi
Jamaa si aliokotwa jalalani? Nilishangaa watu wa udsm hawakustushwa na kauli ileMkuu usisahau kuandika kuwa magufuli hakupenda kufanya kazi na watu wenye akili timamu ila maxombie na maroboti kama Kabudi
Ni karma ilimshughulikia ama wapambe wa mwalimu ndiyo walimshughulikia mwandishi?Sidhani kama aliendelea kuandika vitabu vingine maana KARMA ilimshughulikia.
Hayo ndio matamanio yako.Kama kupakana matope ndiyo lengo lenu, basi jiandaeni kufeli.
Enzi za jini jiwe hizo hazipo tena.Kuwa makini usije nawewe ukapimwa mkojo
I will write the book "Rebutting Dictatorship ofNiko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.
Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:
Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).
Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.
Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
Hana hadhira ya kuuzia! Labda politicians walioumia ambao ni wachache.Unakiuza nchi gani?