Hakuna cha kupumzika hapa , huyo IDD Amin , Hitler , Stalin , Polpot na wengine wanaimbwa mpaka leo Kwa uovu na unyama waliofanya what's so special?Hebu mwacheni mzee wa watu apumzike dah
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha kupumzika hapa , huyo IDD Amin , Hitler , Stalin , Polpot na wengine wanaimbwa mpaka leo Kwa uovu na unyama waliofanya what's so special?Hebu mwacheni mzee wa watu apumzike dah
Ova
Sema wewe ndio unajua reality ya huyo mpuuzi wenu ni nini , Huna mandate ya kuwasemea wananchi kiazi wewe , huyo kenge wenu aliyeua , kuteka , kutesa , kufilisi , kudhalilisha wananchi , kufukarisha nchi Kwa kuua biashara na uwekezaji , kuendejeza chuki za kikabila na nepotism , kuharibu misingi ya kidemorasia , kuvuruga uchaguzi , matumizi mabovu ya pesa zaima kunufaisha genge lake na kununua wapinzani , kunyima ajira vijana .Mtatumika kamampira wakuvaa alafu mtatupwa.
Uzuri nikwamba huu upuuziwenu mnaupigia promo humuhumu jf, huko kwa wananchi wenyewe wanajua reality ni nini.
Hata lile jini lao lilifojiwa PhD na Dr Akwilapo ndiyo maana Akwilapo akahongwa ukatibu mkuu wa wizara.Kama Bashite and co
Alimtanua hii kituDuh, mkuu Jiwe alikufanya nn
Wewe tunakujua ni kwasababu Magu alikubutua akatanua hiyo kitu yako ndio maana una strese huwezi kuolewaHata lile jini lao lilifojiwa PhD na Dr Akwilapo ndiyo maana Akwilapo akahongwa ukatibu mkuu wa wizara.
Ben Sa8 aliandika Sana kuhusu jili ndiyo maana jini likamuua.
Huko Jehanamu Magufuli afe tena
Ungeanza kuandika kuhusu maisha yako Kwanza,, umefanyia nini hata familia yako yakuwekea kumbukumbu ukipotea katika hii dunia??Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.
Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:
Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).
Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.
Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
Naanza na huyu mwanaharamu jiweUngeanza kuandika kuhusu maisha yako Kwanza,, umefanyia nini hata familia yako yakuwekea kumbukumbu ukipotea katika hii dunia??
Ukute huna hata msaada wowote kwa jamii yako unataka uandike kitabu kuhusu magufuli,
Anza chako tuanze kukusoma wewe Kwanza.
Umeongea vyema sana.! Na mifano hai ipo ya vitabu kuandikwa kuelezea udikteta wa viongozi (angalia attachment niliyoweka kwa hii comment)Niliwashauri CdM Leo huko Twitter nawe umesikia sauti yangu.
Bora kiandikwe kitabu kuliko kusema kila siku matendo yake.
Wazungu wangeandaa hadi movie
Kama wataalamu wanavyoendelea kuandal eventual docs ya Ukraine na urusi
AmazonUnakiuza nchi gani?
Bashite kashang'olewa meno,Kingai nae kwa aibu aliyopata hatarudia kutumika kama karatasi ya nsalaniukiisha maliza nenda kaishi rwanda
Vipi udikteta uliofanywa na watangulizi wake ulishauandika?Kitabu kitamhusu Magufuli na matukio ya udikteta aliyoyafanya ktk awamu yake
Andika na sisi tutakupa taarifa binafsi za madhira tuliyopitia.Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.
Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:
Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).
Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.
Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
Duuh! Kuna watu wana maono jamaniHiyo post ni ya 2016 kipindi magufuri ameanza kuonyesha makucha yakeView attachment 2251621
Aliuwa watu wemaDuh, mkuu Jiwe alikufanya nini?
Ninaweka oda ya nakala 500 bila kujali utakiuza bei gani , hizi nakala nitazigawa kwa wananchi wa Jimbo letu la KyelaNiko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.