Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

Nakusudia kuandika kitabu kuelezea UDIKTETA wa Magufuli

Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.

Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:

Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).

Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.

Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
We kama unasikia njaa sema tukupe hela ukale fanya kazi kijana utakufa masikini kisa tamaa za kijinga eti ukidikteta tafuta hela historia yako isijekua marehamu alikuwa na mdomo sanaa.
 
We kama unasikia njaa sema tukupe hela ukale fanya kazi kijana utakufa masikini kisa tamaa za kijinga eti ukidikteta tafuta hela historia yako isijekua marehamu alikuwa na mdomo sanaa.
Hivi unadhani kitabu kinaandikwa na mwenye njaa? Wewe ushawahi kuandika hata makala kwenye gazeti??
 
Hivi unadhani kitabu kinaandikwa na mwenye njaa? Wewe ushawahi kuandika hata makala kwenye gazeti??
Aya kaandike basi ila kaa ukijua JPM atabaki kuwa JPM kiongozi jasiri. We kama unateseka teseka tu mbona hukuandika kipindi yuko hai ili na yeye akusikie mpaka unaandika leo akiwa marehemu. Acha unafiki kijina tafuta kazi ufanye
 
Mleta mada anataka tukoment tu kwenye uzi wake wa kijinga hana lolote.
Habari ya kutunga kitabu hiki ni ya kweli , huyu jamaa amekwishaanza mchakato , ameileta JF ikiwa tayari kinachapishwa
 
Aya kaandike basi ila kaa ukijua JPM atabaki kuwa JPM kiongozi jasiri. We kama unateseka teseka tu mbona hukuandika kipindi yuko hai ili na yeye akusikie mpaka unaandika leo akiwa marehemu. Acha unafiki kijina tafuta kazi ufanye
Niliogopa kuuawa kama Ben Sa8 ama kutekwa kama Roma na Ney. Jamaa alikuwa mtekaji na muuaji. Hujamsikia Membe? Ndiyo maana niliufyata.
 
Hicho andika ww. Sisi tunataka hicho cha udictator wake.

Hakitakuw kitabu. Mana yote yamo. Umeshawahi kukubaliwa Titel ya Dissertation then Kadiri unavyofanya Research na kugundua mambo mapya unajiuliza ilikuwaje hata nikawa na Titel hiyo na Summary ikakubaliwa na Panel ya maprofessor. Basi anza unaweza Rudi kimya
 
Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.

Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:

Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).

Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.

Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.

Mkuu twiga wanakusubiria. Kama Diktator anaandikwa na inauza it means Hakuwa Dikteta. Huhitaji kitabu kumjua dikteta. Inawezekana mkuu vituo vya walenavu wa akili vimejaa. Mana mteja wao huko hapa.
 
Mkuu unatafuta vita vya moto,maji,unga,upepo,radi

Kama unafamilia kaa chini muombe Mungu akuzidishie ulichonacho uwa jengee future nzuri wanao

Siasa ni invisible war
 
Magufuli alikuwa anasimama kwenye jukwaa anasema,"Mnasemaje wananchi,huyu mtu nimtumbue au nisimtumbue?"
Watu wanapiga kekele katika hali mihemuko(,'mihemuko,by the way,nu emotions.) Watu wanapiga kelele katika hali ya mihemuko. Wanasema,"Mtumbue."
Sasa Wewe unasema nini sijui,utaonyeshe udikteta wake. Italeta ubishi hapa watu watasema hawataki kukiona hicho kitabu.
 
Italeta ubishi hapa watu watasema hawataki kukiona hicho kitabu
Watanzania wote wanaosema mama anaupiga mwingi, wanaosema sasa hakuna utekaji na maiti haziokotwi kwenye viroba, wanaosema Mungu ameamlia ugomvi, wanaosema shetani alikuwa ikulu, wanaoshukuru kwa miradi na mashule ya uviko kujengwa, n.k. Wote hawa ni wateja wa kitabu changu
 
Niko ktk harakati za kuandika kitabu kitakachoelezea madhila ambayo Taifa letu limepitia kwa kipindi cha miaka 5 na miezi 5 (Novemba 2015-March 2021). Kitabu hiki kitaelezea mateso na ukandamizaji watanzania waliopitia ktk kipindi hiki chini ya utawala wa rais Magufuli.

Na nikishauza kopi za kutosha za kitabu hicho nitaandaa na documentary yake. Kitabu na documentary vitaenda kwa jina la:

Dictatorship of
M A G U F U L I
(The Master of Chaos).

Hii ni kuweka kumbukumbu kwa vizazi viijavyo ili visije kufanya makosa kuchagua mtu kama Magufuli na kupitia mateso kama haya.

Yeyote mwenye jambo ambalo unadhani nisilisahau kwenye kitabu changu aniwekee hapa nitalichukua.
1. Kuandika Ruksa
2. Kuhariri Ruksa
3. Siku umepanga kwenda kuchapisha , sana salama na familia yako
 
Vipi kuhusu mauaji na utekaji?
Vipi kuhusu kuwafukarisha wafanyabiashara na wakulima?
Vipi kuhusu kufunga maduka ya kubadilishia fedha na kupora fedha zao?
Vipi kuhusu kupora korosho za wakulima?

Subiri kitabu utaelimika.
1. Mauaji huwa yanatokea kuzuia mauaji zaidi. Fikiria wale magaidi wa mkuranga, kibiti na pangani wasingekamatwa na kutiwa kwenye viroba kisha kutoswa baharini. Je pwani na tanga yote leo ingekarika? Hao magaidi wa msumbiji tu walihamisha watu mkoa mzima wa cabo del gado na wakaingia hadi mtwara.Imebidi nchi zaidi ya tano zipeleke majeshi kule na bado hali tete. Katika hili Magu atabaki shujaa.

2. Mfanyabiashara aliyefukarishwa ni yule ambae hakuwa na utamaduni wa kulipa kodi. Kama ulizoea kupata laki tano na leo unaambiwa hiyo laki tano toa laki mbili kama kodi bila shaka utapatwa hasira na utafunga biashara ukidhani unawakomoa hao.

3. Kwenye bureau de change hakukuwa na biashara ya kubadilisha fedha tu. Bahati mbaya tuliishi nchi ya giza kwa muda mrefu na magu akairudisha kwenye mwanga. Humo ndimo deal za madawa ya kulevya zilikuwa zikifanyika, utakatishaji fedha humo, kucheza na currency humo humo. Kuanzia asubui hadi saa kumi currency inaweza kubadilika hata mara saba.

4. Kuhusu korosho hakuna aliyetapeliwa labda ye mwenyewe awe tapeli kwa wakulima. Hiyo bei ya 3200 wasingeipata sababu wanunuzi walitaka kuwalalia. Serikali ilichujua na kuwalipa pesa kama maamuzi magumu ya Magu.
 
Shida ni kwamba utoweza kupata watu wa kuthibitisha accusation zako.

Mapungufu ya Magufuli yapo wazi na watanzania wengi walikuwa tayari kuishi nayo; lakini kuuwa watu na kuwatupa baharini au udikteka hakuna watu wakununua hizo fikra za ya mahasimu wake.

Ni hivi Magufuli achafuliki, tafuteni namna nyingine ya kuongeza popularity ya Bi Tozo. Kwa ningekuwa mshauri wake ningetimua team ya public relations wanafanya kazi mbaya. Kumlinganisha na Magufuli ilo aliwezekani lini mtajifunza.
 
Back
Top Bottom