Page namba 100 andika namna faru John alivyopanda ndege,page namba 153 andika katika nchi yoyote vijana ndio wanajenga nchi na sio wazee ,vijana imabidi waondokane na mawazo ya kizee muda wao umepita maana kila siku wanatunga vitu vya kuwaumiza vijana ,fikiria Kwa mfano kijana anaiba Kura Kwa shilingi elfu 5000 halafu Leo yupo pale mansese analalamika maisha magumu wakati amesahau alikuwa ameiba haki za watu wengine,Kwa Sasa vijana wa Tanzania tuamke kama hatutaamka huku mbele tutalaumiwa na wajukuu na watoto ,mtoa mada usisahau Hili kuwaasa vijana mambo ya kufanya wasisiklize propaganda nakuombea Kwa Mungu ufanikishe Jambo lako