Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Tangu 2015 niliona namna mawe yanavyopata tabu kuongoza watu mara usajili kwa kupiga picha hawakuridhika wamekuja na alama za vidole sijakaa sawa mara mafundi simu wasajiliwe mwishowe tutasikia wezi na vibaka wajisajili ili walipe kodi Ok tuache mboyoyo za hapa na pale Taifa linahitaj msaada wa haraka yaan special programmes and not these trash badala ya kukomaa na kusambaza minara ya ya 5G ya TTCL my gov is busy terminating simcards and certain rubish nchi haina maji wala Kilimo cha kueleweka Viongoz wamegeuka celebrities wanakik daily Huyu anatoa agizo yule anatengua kugain pp(political popularity Ok yetu macho tu watu wamegeuza taifa kama kijiwe unachoweza kukaa ukaongea ungese tu na yakaishia hapo kijiweniTatizo siyo kampuni za simu, hapa ni serikali chini ya mamlaka ya mawasiliano TCRA.
Kwa kufuata vifungu hivyo vya sheria kama ulivyoorodhesha, mamlaka ya mawasiliano ifikishwe mahakamani kuwazimia mawasiliano watumiaji wa simu kinyume cha sheria
Sent using Jamii Forums mobile app