Nakusudia kuishtaki Serikali (TCRA) kuzima Simcard za wateja wa mitandao

Technically alisema ana mawakili "elfu" na leo Jumatatu atafungua kesi dhidi ya serikali kwa kuwafungia laini za simu ambao hawajasajiliwa kwa namba za NIDA. Ndio namuulizia. Wewe una taarifa zozote za technically kufungua hiyo kesi?
Dci manumba alisema jinai haizeeki, na kesi haina muda wa kuanza na kuisha, kimsingi tutayashitaki makampuni ya simu nchi nzima Kijiji kwa Kijiji na mtaa kwa mtaa mawakili wapo wakutosha vijana waliohitimu sheria na kukosa ajira wapo kila familia na wako tayari kujitolea
 
Hili suala la simcard limethibitisha tusivyo na akili za kusolve matatizo yetu...
Hivyo nakuunga mkono kama umelifikisha mahakamani
Hii sheria Ina mkanganyiko hivyo inahitaji umakini Kuna marekebisho ya 2011 2018 na 2019 ukienda kichwakichwa kesi inatupwa nje
 
Dci manumba alisema jinai haizeeki, na kesi haina muda wa kuanza na kuisha, kimsingi tutayashitaki makampuni ya simu nchi nzima Kijiji kwa Kijiji na mtaa kwa mtaa mawakili wapo wakutosha vijana waliohitimu sheria na kukosa ajira wapo kila familia na wako tayari kujitolea
Hujanielewa dogo na hilo ndio tatizo lenu. Ujuaji mwiiiingi. Technically alisema leo anafungua kesi na ndicho ninachotaka kujua. Basi!!

Hayo ya wewe, mjomba wako au mwananzengo mwenzako kufungua kesi baada ya wiki, mwaka, karne, nakubaliana nao. Ni utashi wao. Mimi nauliza technically na mbwembwe za kuleta huu uzi, amefungua kesi?
 
Kosa halijatendeka kwani hakuna line iliyofungwa unafungua kesi baada ya jinai kutendeka, huwezi kumshitaki dereva kwa kumkuta bar anakunywa pombe
 
Hii sheria Ina mkanganyiko hivyo inahitaji umakini Kuna marekebisho ya 2011 2018 na 2019 ukienda kichwakichwa kesi inatupwa nje

Tunajua kuwa mhimili ule uliojichimbia zaidi auwezi kuruhusu kesi kama hizi... Lakini idadi kubwa ya watu wamepata hasara sana kwa kupotezewa muda kwa ujinga wa watu wachache...!!
 
Tatizo ni sisi hatusomi sheria, mtu akisema kwenye tv kesho hakuna hiki tunatii tu bila kuhoji uhalali wake,

Mwaka 2017 tulihakiki sim card zetu kwa kupigwa picha na kukabidhi nakala za viambatanishi Kama sheria inavyosema, Hilo la vidole hakuna lilipo tamkwa kisheria Ni uzushi tu Kama ule ulioanzishwa kuwa lazima usimame kwenye zebra na kupiga honi
 
"Our lives begin to end the day we became silent about things that matter" Dr. ML King
 
IMG-20200121-WA0011.jpg
IMG-20200121-WA0011.jpg
 
Sasa wewe unaleta schedule ambayo inaweza badilishwa wakati wowote na Waziri anayehusika!
Alafu hapo nimeona ni kwa mujibu wa regulation flani na sio law flani.
Kanuni sio sheria, kanuni inabadilishwa kirahisi tu.

**Mimi sio mwanasheria
 
Back
Top Bottom