Mbona sumbawanga jamani tena🤣🤣Tutaplan dear, unaishi mjini Daslam ama? Mimi nipo Sumbawanga huku😜
Huna ukubwa huo we mpumbavu[emoji23][emoji1787][emoji1787]ni kweli
Nitafutie kibabu kimoja humo sumbawanga, anipe dawa kijana akithubutu kumsumbua binti yangu, kile kikojoleo chake kisisimame tena.Tutaplan dear, unaishi mjini Daslam ama? Mimi nipo Sumbawanga huku[emoji12]
Hakuna Userious katika hili mzee(niwie radhi kama nimekukwaza jamaa yangu)Hapa umeharibu chief.bye
[emoji1635]
🥂Hakuna Userious katika hili mzee(niwie radhi kama nimekukwaza jamaa yangu)
Jinsi: Me,
Umri: 28, sina mtoto, sijawahi kuoa.
Kazi: Mwalimu, Muandishi.
Makazi: Moshi (kwa muda),
Imani: Mkristo,
Sifa: Mweusi, Mrefu, ....
'Naamini Mke mwema anaweza kupatikana hapa pia '
Natafuta Mwanamke mwenye Umri wa kati ya miaka 18 hadi 30. Lengo ni ili awe Mke wangu:
Mwanamke ninayemhitaji:
Awe na akili ya kuwa mke na mama wa watoto.
Awe na Heshima.
Awe Mkristo au Mwenye utayari wa kuwa Mkristo.
Sijali kuhusu usomi au kutokusoma.
Ikiwa ana mtoto isiwe zaidi ya 1.
Uzuri/Urembo ni sifa ya ziada.
Kwa aliye na sifa tajwa karibu PM tuzungumze.
Nina maanisha nilichoandika.
The Conspiracist'.
Sawasawa Mkuu.Mkuu hebu kuwa serious, hapo Moshi kuna Ma-Wife material kibao.
Chunguza hata mkeo kisha njoo uniulize tenaSumu hii unamlisha mwenzio
Kwenye heshima apo itategemea wallet yako ikoje broJinsi: Me,
Umri: 28, sina mtoto, sijawahi kuoa.
Kazi: Mwalimu, Muandishi.
Makazi: Moshi (kwa muda),
Imani: Mkristo,
Sifa: Mweusi, Mrefu, ....
'Naamini Mke mwema anaweza kupatikana hapa pia '
Natafuta Mwanamke mwenye Umri wa kati ya miaka 18 hadi 30. Lengo ni ili awe Mke wangu:
Mwanamke ninayemhitaji:
Awe na akili ya kuwa mke na mama wa watoto.
Awe na Heshima.
Awe Mkristo au Mwenye utayari wa kuwa Mkristo.
Sijali kuhusu usomi au kutokusoma.
Ikiwa ana mtoto isiwe zaidi ya 1.
Uzuri/Urembo ni sifa ya ziada.
Kwa aliye na sifa tajwa karibu PM tuzungumze.
Nina maanisha nilichoandika.
The Conspiracist'.