Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Kulea watoto wa mwanaume mwenzio inatakiwa uwe na roho ngumu na ustahimilivu, mimi ni lishindwa.
 
Haiwezekani iwe wanaume Tu ndo Wana shida ...na wewe je?
Umerekebisha kasoro zako?
Au bado unaamini " uko perfect" ?
Hukuwa na shida kabisa?...
Kasoro zako unazijua na umezifanyia kazi ...au ni mume na familia yake ndo Wana 'matatizo "wewe huna kabisa?
 
wala hata usichelewa kupokea baraka hiyo Takatifu ya ndoa ikiwa umeiomba kwa muda mrefu.

Na bilashaka,
ndani ya maombi yako, ulimlilia Mungu sana, na ulifungua maskio ya Moyo wako ukaskia maelekezo na wito wa Mungu kwamba huyu hapa ubavu wako 🐒

usiogope,
Kwa Neema na Baraka za Mungu ingia kwenye ndoa ukiwa na amani na imani kwamba mengine Mungu atakuonyesha ukiwa ndani na atakufanyia wepesi na kuonyesha njia na nuru palipo na giza 🐒

Mpendane msichokozane, amani ya bwana iwe ndani yenu...
 
tunateleza na kuanguka lakini hatubaki chini tuna nyanyuka na tunasnga mbele, kuna muda kusikiliza moyo wako nibvizur zaidi sema shirikisha na akili zifanye kazi pamoja

binadam hatufanani kama mtu ameona thaman yako mbariki hapo kati amiliki kihalali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…