Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

Yeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....

Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.

Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭

Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.

Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Ehe
 
Nikweli au ?!!!😳
 
Kuingia kwenye ndoa sikiliza sana moyo wako kuliko mtu yeyote. Ukiingia kwa pressure ya mtu wakati roho haipo tayari itakuwa ukiguswa kidogo tu unajuta. Roho ikiwa tayari hutojali chochote, madogo utayapuuzia makubwa utapambana nayo
 
Olewa nae lakin sio haraka haraka chunguzaneni kwanza hasa hasa tabia yake soma ili uwe na uhakika kuwa unaenda kuolewa na mtu sahihi

Note:asilimia kubwa wanaume huwa hawapendi watoto wa mwanaume mwingine kinachofanyikaga ni maigizo tu! Kuwa karibu sana na watoto wako, wapende, watimizie kila kitu wewe ndo tegemeo lao kwa asilimia 100
Hakunaga uhakika wa kuoa/kuolewa na mtu sahii, skuhz watu Wana pretend sn[emoji4]
 
Yah! ila watu wanatofautiana Kuna wengine wanapenda kweli hawajali mengine wakipenda mtu.

Mimi nimewahi kushuhudia mwanaume alimpenda mtu ambaye tayari ana ujauzito na huyo mwanaume alianza kumpenda tayari akiwa na ujauzito wa mwanaume mwengine ila akakubali kumuoa huyo mwanamke na mtoto akamfanya kuwa wake.
Hao ndo wateule wa Mungu au ni crossgender........kupenda na kuoa mwanamke mwenye ujauzito wa mtu mgine unahitajika roho mtakatifu kwa kweli.
 
Yeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....

Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.

Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭

Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.

Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Olewa na usiishi naye kwa kutest ishi kbsa real life
 
Back
Top Bottom