Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Kwahiyo kuna kipindi utakua unaenda kuwatembelea, bibie sisi wanaume tuna wivu japo hatujui kuonyesha haraka haraka, ila ingia ndo utaona true colours za mwanaume, na kugundua hao watoto ni kikwanzo hapo mbeleni.Duh!
Niwe mkweli sijawahi mwomba Mungu juu ya hili maana naiogopa ndoa....ndiyo shida mkuu.Asantewala hata usichelewa kupokea baraka hiyo Takatifu ya ndoa ikiwa umeiomba kwa muda mrefu.
Na bilashaka,
ndani ya maombi yako, ulimlilia Mungu sana, na ulifungua maskio ya Moyo wako ukaskia maelekezo na wito wa Mungu kwamba huyu hapa ubavu wako 🐒
usiogope,
Kwa Neema na Baraka za Mungu ingia kwenye ndoa ukiwa na amani na imani kwamba mengine Mungu atakuonyesha ukiwa ndani na atakufanyia wepesi na kuonyesha njia na nuru palipo na giza 🐒
Mpendane msichokozane, amani ya bwana iwe ndani yenu...
A long as mnafanya tendo, hapo ushaolewa tiyari.Yeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Me naona ingia tuu, maybe ths time upo kwenye right truck!!Yeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu😭
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu🙏🏽
Barikiwa sana mkuu,asante sana 🙏🏽Ninakuelewa na ninaona ni kwa nini hii hali inaweza kukutia wasiwasi na kuwa ngumu kwako. Kufanya maamuzi kuhusu kuingia tena katika ndoa, hasa baada ya kupitia changamoto kubwa katika ndoa ya awali, si jambo rahisi. Unaweza kufanya yafuatayo kukusaidia kufikia maamuzi yenye afya na yenye kujenga kwa mustakabali wako na wa familia yako:
Pata Muda wa Kutosha wa Kuponya na Kuelewa Yaliyopita: Kabla ya kufikiria kuingia katika uhusiano mpya, ni muhimu kuhakikisha kwamba umepata muda wa kutosha wa kuponya majeraha yaliyotokana na ndoa yako ya awali. Pia, jaribu kuelewa kwa kina kilichosababisha ndoa hiyo isifanikiwe ili kuepuka kurudia makosa yaleyale.
Usikimbilie Maamuzi: Jipe muda wa kufikiri na kutafakari kwa kina kuhusu uamuzi wako wa kuingia tena katika ndoa. Usijihisi unalazimika kufanya maamuzi haraka kwa sababu ya shinikizo kutoka kwa wengine au hata mchumba wako mpya.
Mawasiliano na Uwazi na Mchumba Wako: Ni muhimu sana kujenga mawasiliano ya wazi na ya dhati na mchumba wako kuhusu hofu na wasiwasi wako. Kujenga msingi imara wa mawasiliano kutawasaidia nyote wawili kuelewa matarajio na mipaka ya kila mmoja.
Fanya Uchunguzi wa Pamoja na Ndugu: Kwa kuwa una wasiwasi kuhusu uhusiano na ndugu wa mume, ni vyema kufanya jitihada za pamoja na mchumba wako kujenga uhusiano mwema na familia yake. Hii itasaidia kujenga mazingira ya uelewano na kuepuka migogoro ya baadaye.
Tafuta Ushauri wa Kitaalamu: Inaweza kuwa na manufaa makubwa kuzungumza na mshauri au mtaalamu wa mahusiano ambaye anaweza kukupa mwongozo na msaada wa kitaalamu. Hii itakusaidia kuelewa hofu zako na kujifunza mbinu za kujenga mahusiano yenye afya na yenye furaha.
Fikiria Kuhusu Watoto Wako: Katika kufanya maamuzi yako, ni muhimu kuzingatia ustawi na hisia za watoto wako. Fikiria ni mazingira gani yatakuwa bora zaidi kwa ustawi wao wa kimwili na kihisia.
Sikiliza Moyo Wako: Mwisho, lakini si kwa umuhimu, sikiliza sauti ya moyo wako. Kama una hisia nzuri kuhusu uhusiano huu mpya na unaona kuna nafasi ya kujenga maisha yenye furaha na yenye kujenga pamoja, basi huenda ikawa ni jambo la kufikiria.
Shida ndiyo hapa maana sex naipenda mkuu😒Kama ukiamua kuwalea watoto wako na ukawa muaminifu usifanye uzinzi maisha yako yote basi usiolewe
Lakini kama unaona hutoweza kukaa bila kuwa na hamu ya tendo basi muombe Mungu akupe mtu sahihi ambaye hatakuwa kama wa kwanza atakayekupenda na kukujali then mfunge ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sipendi hata kufikilia hivo mkuu.Kumbe mkuu wee huwa Ni KE[emoji848]
Olewa nae lakin sio haraka haraka chunguzaneni kwanza hasa hasa tabia yake soma ili uwe na uhakika kuwa unaenda kuolewa na mtu sahihiYeah,nishawahi olewa lakini ndoa yetu ilikuwa ni nusu nichinjwe....ndoa ilikuwa na changamoto nyingi Kabla ya kuoana na baada ya kuoana.....
Kiufupi ilikuwa ni ndoa ambayo katika uchumba ilitupa ishara zote kwamba tunaforce.....(vipingamizi toka kwa ndugu...) lakini tukaangalia siye twapendana imetosha.(Kumbe tulikuwa tunajidanganya ndugu ni sehemu kubwa ya maisha ya ndoa).....hivyo hatukutoboa tukapeana talaka maana ikawa vita sasa ya Israel na Ukraine.
Nina watoto wawili,nimepata mchumba mjasiriamali....sasa kufanya maamuzi ya kuingia tena ndani ya ndoa naogopa....si mchumba wa kwanza kumpata yaan wakifikia stage ya kwenda kujitambulisha lazima niingize chokochoko tugombane tutengane....naogopa mwenzenu....naogopa nilitaka kuuawa na mtu niliyemwamini....naogopa kumtumikia mume tena....naogopa ndugu wa mume watakuwaje katika maisha yetu....naiogopa ndoa ndugu yenu[emoji24]
Naomba ushauri nilee wanangu hawa niliopewa na Mwenyezi Mungu au niingie tena kwenye ndoa na huyu mchumba...kiufupi Kaka wa watu hana makuu...ni mtu mwema tu na anastahili.
Majibu yote napokea ndugu zangu[emoji1431]
Anataka kuingiza kiungo mshambuliaji?Iyo sio ndoa sema unataka kufanya sabu....ndoa ni ile ya kwanza
Barikiwa sana mkuu..asante sana broPole sana kwa huo mtihani Miss To yeye , Maamuzi utakayochukua ndio yatakayoamua hatima ya maisha yako kwa kiasi Fulani. Ushauri wa humu JamiiForums inawezekana ukawa ni wa manufaa na ukakusaidia lakini Mimi nilikuwa nakushauri tafuta watu ambao ni Wakubwa wako wenye busara zao waambie hili jambo nadhani watakupa ushauri wenye afya. Humu JamiiForums wengi wao kwa Sasa hawana experience na mambo ya ndoa na mahusiano. Kila la kheri rafiki yangu. Mungu akitangulie ukafanye jambo litakalokubalika mbele ya ndugu zako na mbele ya ndugu za Mtarajiwa wako.
Asante sana mkuu🙏🏽Olewa nae lakin sio haraka haraka chunguzaneni kwanza hasa hasa tabia yake soma ili uwe na uhakika kuwa unaenda kuolewa na mtu sahihi
Note:asilimia kubwa wanaume huwa hawapendi watoto wa mwanaume mwingine kinachofanyikaga ni maigizo tu! Kuwa karibu sana na watoto wako, wapende, watimizie kila kitu wewe ndo tegemeo lao kwa asilimia 100
Basi ni zawadi na Neema ya kipekee sana kutoka kwa Mungu 🐒Niwe mkweli sijawahi mwomba Mungu juu ya hili maana naiogopa ndoa....ndiyo shida mkuu.Asante
Yah! ila watu wanatofautiana Kuna wengine wanapenda kweli hawajali mengine wakipenda mtu.Kwahiyo kuna kipindi utakua unaenda kuwatembelea, bibie sisi wanaume tuna wivu japo hatujui kuonyesha haraka haraka, ila ingia ndo utaona true colours za mwanaume, na kugundua hao watoto ni kikwanzo hapo mbeleni.