Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Mkuu inaonekana upo vizuri kwenye hii sekta
 
Hahahha haya mnaoota majirani wanawaroga mkuje
 
Hhaha hivi vitu vyako ulivyomuagiza vishakuja? Hadi suruali na mid heels, kweli mume kapatikana


mhhhh mie namuomba Neybright awe km mshenga ! awe anamkumbusha hyo list ! nimegain nahitaj mid heels kwa hali na mali kisa kuvunja kiuno mweee !hheh tuwaachie wenye kilo zao !

au mume ukikosa hzo nitumie tu nitanunua !ndukiiiiiiiiiiiiiii
 


jaman nimecheka !dah !kweli dunia haipo fair hahahahh ! dah hizo shares jaman za mbele namn hyo !hahahaahaa kina sie tunaota tunarogwa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ila ukweli wanywaj wa balimi mhhh !
 
ahhhahah jaman we Neybright hujui unaniharibia kwa mume !mchana kaniwakia nikawa mdogoo !hahhaa nafanyaje sasa jaman ! ninawamis jaman nyie watu
Nalendwa ,Heaven Sent ,Neybright ,demi ! mwee!
Sikuaribii shost yangu, ila nimejaribu kumuelewesha Shem in indirect way, nakujua shost kwamba unapenda pesa utadhani huwa unalalanazo strong room [emoji6].
Lakini najua shemeji akiwa anatuma mihamala ya kutosha lazima utulie.
Ila yote tisa tunakumisi shoga yetu naona ni mwendo wa cc tuu nanyupu amejua kutukomesha [emoji119]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…