Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Nakuzimikia sana MBITIYAZA

Kabla hujaamua kusogeza kiumbe chenye akili timamu kwenye himaya yako bila kutumia silaha !!

Fuata hizi mbinu
1.mjue jina lake halisi .

2.kama anapenda utani linyumbue jina lake Kwa namna ya pekee!yaani utofautiane na wengne katka uitaji

3.mpigie simu kila Mara !hapa usisahau kuwa unalitumia hilo jina ili alizoee!..

4.Fanya vitu tofauti kwake huku ukifuatilia mrejesho kutoka kwake kama anavipenda vitu hivyo na anakutofautisha na wengne walowahi kummbebisha

5.Usiwe na uharaka ya kuiambia jamii kuhusu hisia zako kwake..anyway unaweza kuwaambia watu ila yeye asijue

6.Mfahamu vizuri ikiwa ni pamoja na kuudukua udhaifu wake na kuuelewa mahali ulipo egemea

7.Akisha kuzoea kama ng'ombe wa mnada anza kumswaga taratibu bila kutumia fimbo tumia maneno matamu mubashara ili afike getto

8.Siku akifika getto Kwa Mara ya kwnza usianze kumsimulia kuhusu mafanikio yako humo ndani

9.Mwache ashike kila akipendacho humo ndani !vya kushika vikiisha utaanza kushikwa wewe sasa!hapa usije kuruka kama mjusi aliyedondoka kutoka juu ya mti

10.Ukishikwa usikiruhusu kiboro dinda kidinde haraka jikaze ili aanze kudinda yeye!hapa utamchezea kama mtoto mdogo

11.Sasa baa mdogoo hapa mtekenye samaki wako na umgeuze geuze unavyotaka akiiva mle kirafi kabisa na Kwa kiwango cha rami..

12.Baada ya hapo njoo sasa umsifie huku JF na ukimtofautisha na thread zote ambazo umewahi kupekenyuaa

Nasi tutamuita shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii

acha uongo
Mkuu inaonekana upo vizuri kwenye hii sekta
 
1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....
Halafu umeona mkuu, sio kina nanyupu wazee wa balimi, tunakunywa vitu brandi vitu imported yaan hata ukilala unaota unanunua shares kwenye NYSE sio mambo ya kulala unaota jirani anakuroga.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahha haya mnaoota majirani wanawaroga mkuje
 
Hhaha hivi vitu vyako ulivyomuagiza vishakuja? Hadi suruali na mid heels, kweli mume kapatikana


mhhhh mie namuomba Neybright awe km mshenga ! awe anamkumbusha hyo list ! nimegain nahitaj mid heels kwa hali na mali kisa kuvunja kiuno mweee !hheh tuwaachie wenye kilo zao !

au mume ukikosa hzo nitumie tu nitanunua !ndukiiiiiiiiiiiiiii
 
1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....
Halafu umeona mkuu, sio kina nanyupu wazee wa balimi, tunakunywa vitu brandi vitu imported yaan hata ukilala unaota unanunua shares kwenye NYSE sio mambo ya kulala unaota jirani anakuroga.

Sent using Jamii Forums mobile app


jaman nimecheka !dah !kweli dunia haipo fair hahahahh ! dah hizo shares jaman za mbele namn hyo !hahahaahaa kina sie tunaota tunarogwa haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa! ila ukweli wanywaj wa balimi mhhh !
 
ahhhahah jaman we Neybright hujui unaniharibia kwa mume !mchana kaniwakia nikawa mdogoo !hahhaa nafanyaje sasa jaman ! ninawamis jaman nyie watu
Nalendwa ,Heaven Sent ,Neybright ,demi ! mwee!
Sikuaribii shost yangu, ila nimejaribu kumuelewesha Shem in indirect way, nakujua shost kwamba unapenda pesa utadhani huwa unalalanazo strong room [emoji6].
Lakini najua shemeji akiwa anatuma mihamala ya kutosha lazima utulie.
Ila yote tisa tunakumisi shoga yetu naona ni mwendo wa cc tuu nanyupu amejua kutukomesha [emoji119]
 
Back
Top Bottom