Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Hhaha hivi vitu vyako ulivyomuagiza vishakuja? Hadi suruali na mid heels, kweli mume kapatikanahahaha nabanjuka kihisia nw ! kimatendo walaaa! teh !nimepata mume shurt heshima na adabu juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhaha hivi vitu vyako ulivyomuagiza vishakuja? Hadi suruali na mid heels, kweli mume kapatikanahahaha nabanjuka kihisia nw ! kimatendo walaaa! teh !nimepata mume shurt heshima na adabu juu
Mkuu inaonekana upo vizuri kwenye hii sektaKabla hujaamua kusogeza kiumbe chenye akili timamu kwenye himaya yako bila kutumia silaha !!
Fuata hizi mbinu
1.mjue jina lake halisi .
2.kama anapenda utani linyumbue jina lake Kwa namna ya pekee!yaani utofautiane na wengne katka uitaji
3.mpigie simu kila Mara !hapa usisahau kuwa unalitumia hilo jina ili alizoee!..
4.Fanya vitu tofauti kwake huku ukifuatilia mrejesho kutoka kwake kama anavipenda vitu hivyo na anakutofautisha na wengne walowahi kummbebisha
5.Usiwe na uharaka ya kuiambia jamii kuhusu hisia zako kwake..anyway unaweza kuwaambia watu ila yeye asijue
6.Mfahamu vizuri ikiwa ni pamoja na kuudukua udhaifu wake na kuuelewa mahali ulipo egemea
7.Akisha kuzoea kama ng'ombe wa mnada anza kumswaga taratibu bila kutumia fimbo tumia maneno matamu mubashara ili afike getto
8.Siku akifika getto Kwa Mara ya kwnza usianze kumsimulia kuhusu mafanikio yako humo ndani
9.Mwache ashike kila akipendacho humo ndani !vya kushika vikiisha utaanza kushikwa wewe sasa!hapa usije kuruka kama mjusi aliyedondoka kutoka juu ya mti
10.Ukishikwa usikiruhusu kiboro dinda kidinde haraka jikaze ili aanze kudinda yeye!hapa utamchezea kama mtoto mdogo
11.Sasa baa mdogoo hapa mtekenye samaki wako na umgeuze geuze unavyotaka akiiva mle kirafi kabisa na Kwa kiwango cha rami..
12.Baada ya hapo njoo sasa umsifie huku JF na ukimtofautisha na thread zote ambazo umewahi kupekenyuaa
Nasi tutamuita shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii
acha uongo
Hahahha haya mnaoota majirani wanawaroga mkuje1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....
Halafu umeona mkuu, sio kina nanyupu wazee wa balimi, tunakunywa vitu brandi vitu imported yaan hata ukilala unaota unanunua shares kwenye NYSE sio mambo ya kulala unaota jirani anakuroga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu pambana na hali yako1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....
Halafu umeona mkuu, sio kina nanyupu wazee wa balimi, tunakunywa vitu brandi vitu imported yaan hata ukilala unaota unanunua shares kwenye NYSE sio mambo ya kulala unaota jirani anakuroga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhaha hivi vitu vyako ulivyomuagiza vishakuja? Hadi suruali na mid heels, kweli mume kapatikana
1 Corinthians 15:32 ' Let's eat and drink for tomorrow we shall die'.'....
Halafu umeona mkuu, sio kina nanyupu wazee wa balimi, tunakunywa vitu brandi vitu imported yaan hata ukilala unaota unanunua shares kwenye NYSE sio mambo ya kulala unaota jirani anakuroga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lala mkuu tukulindieUsiku mwema mpenz wangu mbiti wewe ndo kipenz cha moyo wangu, ulale salama
Mwaaaaaaa
Cc mbitiyaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiku mwema mpenz wangu mbiti wewe ndo kipenz cha moyo wangu, ulale salama
Mwaaaaaaa
Cc mbitiyaza
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hata nikikuacha na baby wangu huwez mfanya kitu huna madhara kwanza huna swaga, upo upo tu kama mdori wa kuchezea watoto
Wewe hata nikikuacha na baby wangu huwez mfanya kitu huna madhara kwanza huna swaga, upo upo tu kama mdori wa kuchezea watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa mkuu mademu wote humu umeahindwa hata kuopoa mlupo mmoja? aisee una gundu sana ngosha kaoge dawa na mauganga
Sikuaribii shost yangu, ila nimejaribu kumuelewesha Shem in indirect way, nakujua shost kwamba unapenda pesa utadhani huwa unalalanazo strong room [emoji6].ahhhahah jaman we Neybright hujui unaniharibia kwa mume !mchana kaniwakia nikawa mdogoo !hahhaa nafanyaje sasa jaman ! ninawamis jaman nyie watu
Nalendwa ,Heaven Sent ,Neybright ,demi ! mwee!
Tafuta basi unitagYani sasa hivi nimetoka kuwawaza, hamna uzi wa kutukeshesha tukiwasubiri pampulas
Ahahahaaaaaa uwiii acha tuu nicheke shoo huu uzi umenifurahisha sanaTeh nataka shari mbona unacheka?
TawireWewe hata nikikuacha na baby wangu huwez mfanya kitu huna madhara kwanza huna swaga, upo upo tu kama mdori wa kuchezea watoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu sitaki kuongelea inbox zilizojaa nafkiri ukichek vizur kwenye picha pale utaona ni shida. Am just doing this for fun chiefHahahaaaa mkuu mademu wote humu umeahindwa hata kuopoa mlupo mmoja? aisee una gundu sana ngosha kaoge dawa na mauganga
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasahivi anafurahia ahadi,hapo bado hazijatimia zikitimia sijui itakuwajeHahha mbiti siku hizi sikuelewi ujue, mbona kama umeweka shida chini na kunyanyua mikono juu?