Nakuzimikia sana MBITIYAZA

PAMPULA.... I'm still researching what does it really mean.

Neybright nilikuomba mno unionyeshe PAMPULA perfume lakini umezingua.

Anyone to volunteer please?
Sasa ndugu yangu sinilikwambia uwe na subira nikinunua nikutumie picha ili ukaitafute,
Siwezi acha kukuonyesha pampula perfume coz is the best perfume in the world [emoji125]
 
Pacha kuna mtu anasema wewe ni single maza..kuja huku umepata mume. The waiting is over!
** MBITIYAZA


shoga hatimaye vilio vyetu vimeanza kusikika sasa !khaaa hatutongozwi na watu ndo hawa sasa! sasa demi na group yetu mniandalie shughuli jaman ! tunalia lia kumbe kuna watu wenye UTHUBUTU NAMNA HII ! kwakwel nimejisikia mwenye furaha tena !unaakaje miaka 6 bila hata kusalimiwa jaman !khaaa nanyupu nakupenda pia mdogo wangu! masuala ya umri yasikutishe tutafix tu mbn !
 
Mr. BILGERT naona unanyang'anywa tamu yako hivi hivi. Usije ikawa umeshindwa kuhudumia


sema wewe kila siku kuniomba acc no hawek chochoteee hehehehe huyu nimteme tu !kila siku naangalio salio tgpesa wapii ! khaa we BILGERT ndo nishakutema! tafuta wa kufanana na ww !mie ndo nhamishia maisha geita katoro! nikale thato mie
 




woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooo hizi ndo techniques za kihenga! unanyonyolewa hivihiviiiiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…