Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Embu waite Heaven Sent na espy waje wampe hongera binti wa kisukuma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kweli hapa ni kuanza mbele tu!..[emoji28]
Embu waite Heaven Sent na espy waje wampe hongera binti wa kusukuma
Sasa ndugu yangu sinilikwambia uwe na subira nikinunua nikutumie picha ili ukaitafute,PAMPULA.... I'm still researching what does it really mean.
Neybright nilikuomba mno unionyeshe PAMPULA perfume lakini umezingua.
Anyone to volunteer please?
Asanteh sanaTunamalizia hapa, atarejea shortly hewani. In one hour time ataanza kujibu kila mtu, nimeshamruhusu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha mbiti bado kigoriiiii analipaEmbu waite Heaven Sent na espy waje wampe hongera binti wa kisukuma
[!]Mimi sijazimikia mtu, ila nahisi kukuzimikia wewe, kwa hiyo jiandae kusikia la mgambo likiliaKumbe inaruhusiwa kuhamisha mazimikio😀
Pacha kuna mtu anasema wewe ni single maza..kuja huku umepata mume. The waiting is over!
** MBITIYAZA
Tegemea kukutana na hili neno akikuja "DHALILISHO"😀
Hii ndio tafasiri sahihi ya MBITIYAZAFisi Nyekundu umependwa huku.
Mr. BILGERT naona unanyang'anywa tamu yako hivi hivi. Usije ikawa umeshindwa kuhudumia
Kabla hujaamua kusogeza kiumbe chenye akili timamu kwenye himaya yako bila kutumia silaha !!
Fuata hizi mbinu
1.mjue jina lake halisi .
2.kama anapenda utani linyumbue jina lake Kwa namna ya pekee!yaani utofautiane na wengne katka uitaji
3.mpigie simu kila Mara !hapa usisahau kuwa unalitumia hilo jina ili alizoee!..
4.Fanya vitu tofauti kwake huku ukifuatilia mrejesho kutoka kwake kama anavipenda vitu hivyo na anakutofautisha na wengne walowahi kummbebisha
5.Usiwe na uharaka ya kuiambia jamii kuhusu hisia zako kwake..anyway unaweza kuwaambia watu ila yeye asijue
6.Mfahamu vizuri ikiwa ni pamoja na kuudukua udhaifu wake na kuuelewa mahali ulipo egemea
7.Akisha kuzoea kama ng'ombe wa mnada anza kumswaga taratibu bila kutumia fimbo tumia maneno matamu mubashara ili afike getto
8.Siku akifika getto Kwa Mara ya kwnza usianze kumsimulia kuhusu mafanikio yako humo ndani
9.Mwache ashike kila akipendacho humo ndani !vya kushika vikiisha utaanza kushikwa wewe sasa!hapa usije kuruka kama mjusi aliyedondoka kutoka juu ya mti
10.Ukishikwa usikiruhusu kiboro dinda kidinde haraka jikaze ili aanze kudinda yeye!hapa utamchezea kama mtoto mdogo
11.Sasa baa mdogoo hapa mtekenye samaki wako na umgeuze geuze unavyotaka akiiva mle kirafi kabisa na Kwa kiwango cha rami..
12.Baada ya hapo njoo sasa umsifie huku JF na ukimtofautisha na thread zote ambazo umewahi kupekenyuaa
Nasi tutamuita shemejiiiiiiiiiiiiiiiiiii
acha uongo