Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
Kuna watu ambao huwa hawajifunzi hajar,amini hivyoNatumai ushajifunza. Ukipata zingine uwe makini sasa.
Sababu hicho unachokipitia ndio kipimo sahihi cha marafiki wanaotuzunguka. Pole.
Unatakiwa ufanyiwe maombi mkuuBora wewe unatumia na rafiki zake hata kama wamekutosa ipo siku watarejea, mimi ninapepo la kutokukaa na pesa nazitumia kama nina kichaa nikiingia sehemu ya starehe na 300k subaki hata na mia
DadaNatumai ushajifunza. Ukipata zingine uwe makini sasa.
Sababu hicho unachokipitia ndio kipimo sahihi cha marafiki wanaotuzunguka. Pole.
Ndio ukubwa mkuuPole ndio maisha yalivyo
Nakwambia nimewaka ile ngumuNdio ukubwa huo
Mkuu hapa nimehudhuria makanisa mengi sana kwa minajiri hiyohiyo ya maombi lakini wapi... Pepo halijaniacha hamna dini kubwa ambayo sijapita kusali.Unatakiwa ufanyiwe maombi mkuu
Ahsante Sana mkuuNatumai ushajifunza. Ukipata zingine uwe makini sasa.
Sababu hicho unachokipitia ndio kipimo sahihi cha marafiki wanaotuzunguka. Pole.
Wee acha tu kiongozi, bora unyamazeHaha umenikumbusha mbali sana mkuu
Ngoja ninyamaze,ila najua pia ulikuwa hupokei ushauri mzuri kutoka kwa some of your friends
...Kabisa mkuuHahahah kua nanyakati ngum ndo ujue Marafki wako wakweli niwapi
Mie tayari nimejifunza mkuuKuna watu ambao huwa hawajifunzi hajar,amini hivyo