Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,371
- 2,713
- Thread starter
-
- #21
Uko syrius!!!Mkuu hapa nimehudhuria makanisa mengi sana kwa minajiri hiyohiyo ya maombi lakini wapi... Pepo halijaniacha hamna dini kubwa ambayo sijapita kusali.
Imebidi nikae tu nijiombee mwenyewe labda linaweza likaniachia maana Mungu anasikia zaidi maombi yako binafsi na si yale yanawasilishwa na mtu mwingine kwa niaba yako
Niwe majivu mara ngapi mkuu?Endelea kuwaka ukiwa majivu tuta kuzoa tukakutupe
Kweli mkuu sifanyi utani... Mie nikipata pesa ni vyombo tu hadi ikauke japo wanawake sina time nao kwahyo pesa yangu kwao haiendi kwao.Uko syrius!!!
Niambie mdogo wangu. Nimekumiss ujue?Dada
Hahahaaa. Lol.Wee acha tu kiongozi, bora unyamaze
Usinikumbushe machungu.
Jamaa walikuwa wananipamba na kuniita
Mzee wa bata
Njoo pmKweli mkuu sifanyi utani... Mie nikipata pesa ni vyombo tu hadi ikauke japo wanawake sina time nao kwahyo pesa yangu kwao haiendi kwao.
Kama unauwezo wa kufanya lolote hebu saidia bhana maana huwa najiapiza kuacha lakini sijawahi thubutu kuacha
Tualikane sote jamani kama mnaendaNiambie mdogo wangu. Nimekumiss ujue?
Haya jumapili hii tunakwenda wapi baadae?
Ukweli usiopingika mkuu naunga mkono hoja 100% Pesa ibilisiPesa ni shetani ukiwa hauna mipango kibao kichwa zipate sasa huna hata moja utalokumbuka akili zina hamia kwenye anasa
Umoja wa wasoma comment JF
Mkuu wazazi ndio kitu cha kwanza dunianiMkuu ila mimi nakumbuka neno moja tu
Why hizo hela ungetumia kuwahudumia wazazi wako wawili ili upate baraka,ulivyowahudumia marafiki zako umepata nini?
Hahaaaa. Huwa tuna wadau wetu ambao tunakwenda nao wakitupa ruhusa basi na weye utaalikwa.Tualikane sote jamani kama mnaenda
Sunrise beach kupunga upepo
Aaah Sina habari mkuuEndelea kuzisaka, siku ukizipata utapata marafiki wapya wa kuzitumia nao!
Hasa marafiki wa kiume lazima wakuchekeNatumai ushajifunza. Ukipata zingine uwe makini sasa.
Sababu hicho unachokipitia ndio kipimo sahihi cha marafiki wanaotuzunguka. Pole.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120][emoji120] Hajar: ahsante mkuuHahaaaa. Huwa tuna wadau wetu ambao tunakwenda nao wakitupa ruhusa basi na weye utaalikwa.
Sesten Zakazaka na Kaka yangu 1kush africa.
Subiri waje.
Na kweli rafiki. Utakuta kila aliyemshauri mazuri basi ni mbaya kwake.Kuna watu ambao huwa hawajifunzi hajar,amini hivyo
Hahahaaaa. Karibu banaaa. .
Umeonaeeee. Wacha wamcheke maana ndugu yangu huyu hakutaka kujiongeza kujua marafiki wote ni wema.Hasa marafiki wa kiume lazima wakucheke