Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mnanipitia au niwapitie mimi? Time zenyewe ndio hizi mjueHahaaaa. Huwa tuna wadau wetu ambao tunakwenda nao wakitupa ruhusa basi na weye utaalikwa.
Sesten Zakazaka na Kaka yangu 1kush africa.
Subiri waje.
Hebu muulize hakuwekeza kwa mchuchu wakati mambo yapo kwenye mstari? Maana wachuchu wanakumbuka sana fadhila ujue😎😎😎Umeonaeeee. Wacha wamcheke maana ndugu yangu huyu hakutaka kujiongeza kujua marafiki wote ni wema.
Mie nasubiri kupitiwa hapa kwa kweli. Hahahaaaa.Mnanipitia au niwapitie mimi? Time zenyewe ndio hizi mjue
Uzuri viwanja vyetu na bata zetu ni za kipwanipwani, haviwezi kufanya mtu akafilisika kama mleta uzi halafu anabaki na majuto ni mjukuu, ushaona wapi ngisi na pweza za Babu Juma, urojo wa Makame zikamfilisi mtu?😛😛😛
Mie nasubiri kupitiwa hapa kwa kweli. Hahahaaaa.
Ndio hapo sasa vyakula vya kipwani pwani havijawahi mfilisi mtu.
Hahaaaa. Nimekumbuka ule uzi wako uleee ndio uleee. Sijui kwa kweli kama alikuwa na akili hiyo.Hebu muulize hakuwekeza kwa mchuchu wakati mambo yapo kwenye mstari? Maana wachuchu wanakumbuka sana fadhila ujue😎😎😎
Basi usiondoke tena hapo nakujaMie nasubiri kupitiwa hapa kwa kweli. Hahahaaaa.
Ndio hapo sasa vyakula vya kipwani pwani havijawahi mfilisi mtu.
Aje tuu maana ule uzi ungemfaa sana angeambulia mawili mattu yenye manufaaHahaaaa. Nimekumbuka ule uzi wako uleee ndio uleee. Sijui kwa kweli kama alikuwa na akili hiyo.
Nguvu moja njoo.
Mie nipo wala siondoki.Basi usiondoke tena hapo nakuja
Hahahaaa, kuna kula bata kwingine kama anavyosema mleta uzi ni balaaa!
Mnabadilisha viwanja tu usiku kwa usiku, unakua na milioni saa nne usiku mpaka pakuche asubuhi umebakiwa na elfu arubaini na mbili, na ndio yanakua maisha yako ya matumizi hayo
Sasa uje uanguke sasa, hahahaaa hao uliokuwa nao kampani ya bata za hivyo watakavyokucheka, kukukwepa na kukusema utafikiri sio wao!
Twenzetuni sisi kwenye mambo yetu bana huyu yna4 na 1Kush wamepitia kona gani tena! Mbona wanipa wasiwasi😳😀😎
Kweli usemayo urafiki wa pesa huisha zinapoondoka HajarMie nipo wala siondoki.
Yaani acha tu Sesten na hawawezi kumbuka sababu urafiki uliunganishwa kwa pesa na kwa muda huo pesa hazipo tena.
Kina Kush ngoja niwaite.
usijali bia zitauzwa buku kuanzia keshokutwa tu naamini marafiki zako watakutafuta tenaNdugu zangu mwenzenu nipo katika majuto mjukuu
Kwa matumizi niliyokuwa nafanya wakati ule ni mabaya sana.
Nilipokuwa na pesa mfukoni matumizi yangu yalikuwa niya hali ya juu sana. Na nilikuwa napata pesa nyingi sana
Nikawa natafuta marafiki naenda kutumia sasa pesa zimeniishia Nguvu moja sina la kusema marafiki zangu wote wamenikimbia... Wakati ule nikiingia kwenye Bar/Hotel nawaambia marafiki kuleni kunyweni.
Sasa hivi wameniona nimewaka wananikimbia na wengine wananikebehi kwa kuniomba buku/ 1000/= wakati wanajua nimewaka ile ngumu na wengine wananicheka na kuniambia ndio ukubwa huo.
Wapo hao sana mkuu,yani anakupa masifa..mara anakuletea girls hahaWee acha tu kiongozi, bora unyamaze
Usinikumbushe machungu.
Jamaa walikuwa wananipamba na kuniita
Mzee wa bata
Duuh!! Noma sana mkuuUnadhani ni Waswahili pekee. Ni popote pale mtu anapokuwa na pesa huku akili yake hajui kuichezesha na kuendekeza marafiki lazima awake tu ka weye hapo Mkuu.
Mkuu wee ke au me?Hasa marafiki wa kiume lazima wakucheke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wastara haumbuki...Hahahaaaa. Karibu banaaa. .
Nimecheka kwa sauti lol. Ila umejua kujiongeza bana kwa huko kutania maana sidhani kama wangekukubalia sababu huna kitu, hata nauli ya kuja natumai ingebidi wakupatie ili ufike sababu kama usemavyo umewaka mbaya. Hahahaaaa.
Nimekoma sirudii tena nina banda languUmeonaeeee. Wacha wamcheke maana ndugu yangu huyu hakutaka kujiongeza kujua marafiki wote ni wema.