"Nakwenda yaani basi tu" kauli hii imeninyima raha sana

Usiku ulimfikisha lkn? Tuanzie hapo
 
MUUWE huyo hakufai na wewe umezidi kwani hukuona mwanamke bora kama DEAR KATUNGE wangu jamani
 
Usipende mkeo kumtuma tuma hovyo,, kunasiku utamtuma alafu ataenda kuliwa huko uje hapa uanze kulialia... Mwanamke akikuambia hatoki kama wewe unaweza kutoka nenda chapu usikumbane nae..yeye ni pambo la ndani... Shauri yako
 
Inaonekana huyo mke umemfanya mtu wa kumtumatuma, na yeye hataki.
 
Unamoyo mdogo sana wewe ni kibinti sio mwanaume

USSR
 
Zungumza nae ajue hujapenda, atajua namna ya kukutreat sisi hapa jukwaani tutakupa mawazo ambavyo yanaweza kukufanya uone kazingua sana au yuko sahihi na siku zote amini katika mwazo yako maana akili za kuambiwa changanya na zako.

Nenda mwambie ulivyofeel ili ajiwekee mazingira ya kutokurudi alilofanya maana yeye ndio mhusika zaidi kuliko hapa
 
Ndo maana sisi wanaume tunakufa mapema, kitu kidogo kama hicho unachukulia serious adi unafungua uzi kabisa, sasa kama mwanamke kachoka kuna ubaya gani kusema?
 
Branch manager mahali mkuu.
Sasa kajiona yeye branch manager mahali halafu unamtuma tuma kazi kama mwanao au housegirl, mpaka nguo akupangie, hapo ndipo mgogoro labda.
 
Kuna vitu vingine tuache kukuza au kutafsiri tofauti binafsi sioni kosa lake hapo yani mkuu unatafuta ugomvi kabisa tafuta amani mzee ukishakua kichwa cha familia mengine unapotezea sasa kajambo kadogo hivyo umekaweka rohoni weee
 
Ndoa ni nzuri ila wanandoa ni wakorofi tu wanaishi kimazoea na malipizi
 
Huwa sipendagi nimsikie mwanamke aseme basi kama hutaki nitafanya mimi au nitaenda mimi at first place Kwanini hukufanya hivyo, mbaya zaidi nimeikuta hii kwa huyu mwanaume yani sijui nimekuonaje, mwanaume kususa dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…