"Nakwenda yaani basi tu" kauli hii imeninyima raha sana

"Nakwenda yaani basi tu" kauli hii imeninyima raha sana

usinge oa wala usinge pata hzo makasiliko

vijana msioe
kataa ndoa
ndoa n ubinafsi
 
Una gubu kha!! Ina mana hapo hujaelewa nn? Hakua na mood ya kutoka, hakujiskia kwenda kokote hio siku, na alienda akuridhishe tu sasa shida iko wapi?? punguza gubu na maneno madogo madogo yanakosesha furaha ya nyumba.
Wengi wenu mtajibu kutokana na hii kauli lakini ndoa hii inaashiria ina mgogoro wa siku nyingi.

Hii kauli imetonesha kidonda.

Namshauri huyu ndugu awe mwanamme.

Wakae chini na atumie nguvu ya ushawishi aiponye ndoa.
Vinginevyo ipo siku shoka zitahusika.
Aliwahi kukiri kuwa wanaishi pamoja basi tu kwasababu wamezaa watoto.
 
Yani majibu kama hayo kwanza nshakukunja nakukukojolesha kama vitatu, baada ya hapo nitakuuliza utaenda au huendi? Kamwe sikupigi Kofi. Ni mbupu tu. Kama huendi naenda mwenyewe. Nacheki pis Kali huko ya kula nayo Eid, kama pambo la Eid maana wewe unagubu. Siku hiyo nakulq nakula mtoto mkali. Na ole wako utoke siku hiyo. Kwa ufupi ndoa ikikosa command ni upuuzi. Utaenda Kwa lazima! Na utaleta jibu. Na ukirudi nagonga vingine vitatu. Jumla sita, Eid utaila umechoka, baadae napata bia nne. Narudi kulala. Tchao
Una gubu kha!! Ina mana hapo hujaelewa nn? Hakua na mood ya kutoka, hakujiskia kwenda kokote hio siku, na alienda akuridhishe tu sasa shida iko wapi?? punguza gubu na maneno madogo madogo yanakosesha furaha ya nyumba.
 
Ifike hatua kuwe na mtihani kabla mtu hajapewa mke.
 
Nakushauri ukiwa kama Mume Baba kwenye familia yako epuka kuweka mashindano, mitego, kununa, kuzira, visasi, au kutengeneza mazingira ya kutafutiana makosa. Ukivifanya hivi vitu lazima utashindwa kuishi na mweza wako.
Elewa kuwa siku hazilingani. Hata wewe mwenyewe kunasiku unaweza amka huna mood ya kufanya chochote. Jitahidi sana kumwelewa mwenzako katika nyakati mbalimbali. Hakuna alie mkamilifu chini ya Jua.
 
Your fingers are not same size. Nilioa Ili niandaliwe nguo.

Secondly elewa Dharura. Si lazima nieleze nilichokuwa nafanya mchana huo. Ila Dharura nilivyokuwa nayo sikuwa na budi kumuagiza aende.
Ulioa ili uandaliwe nguo[emoji849][emoji19]..??
Poleee.
 
Back
Top Bottom