Huwa sipendagi nimsikie mwanamke aseme basi kama hutaki nitafanya mimi au nitaenda mimi at first place Kwanini hukufanya hivyo, mbaya zaidi nimeikuta hii kwa huyu mwanaume yani sijui nimekuonaje, mwanaume kususa dah
Majanga sana kuna mambo mengi yanasikitisha ni hovyo, kidume kizima na mindevu unasusasusa haipendezi kabisaTunao wengi sana
Anasusa kabisa
Anajinunisha anashtaki mpak ukweni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Majanga sana kuna mambo mengi yanasikitisha ni hovyo, kidume kizima na mindevu unasusasusa haipendezi kabisa
[emoji122][emoji122][emoji122]Well said madamIla huyu kanishangaza kwanza nijuavyo wanaume wengi hawapendi kuwatuma wake zao
Pili mke nae ni binadamu pengine nafsi yake ilihitaji kupumzika
Tatu ashukuru mkewe siyo mzururaji manake mwingine anakuitikia haraka haraka amepata tiketi ya kwenda kufanya yake
Mkuu elewa kwanza maana ya Dharura.First of all km ilikua dharula kwanini hukwenda wewe....
Hlf ilikua sikukuu ukute kashinda anapika mapilau etc..hlf we unakuja na dharula zako ghafla.
We si mwanaume ungeenda...
Kuna mdau kakwambia hapo juu usipende kumtuma tuma mke nje kwenye issue zakp utajuta....
Sa zingine ulishinda home unachat tu na simu....
So far mwanamke km.sio mzururaji au mtokaji wa hovyo usimfosi awe mzururaji...huyo maskini alipanga sikukuu atulie zake nyumbani....
Km ulikua mzima wa afya na hukutaka kwenda hilo ni gubu....hlf hilo jibu ulopewa wala sio la kukaa nalo kichwani
Pia alipokwambia hajiskii kutoka ungemwelewa unless ni dharula kubwa nawe UNAUMWA huwezii kbss
...kuna watu mioyo ikiwa migumu huenda kuna janga mbele yake analiepuka.....
Ila huyu kanishangaza kwanza nijuavyo wanaume wengi hawapendi kuwatuma wake zao
Pili mke nae ni binadamu pengine nafsi yake ilihitaji kupumzika
Tatu ashukuru mkewe siyo mzururaji manake mwingine anakuitikia haraka haraka amepata tiketi ya kwenda kufanya yake
Wakuu,
Salam.
Juzi nilitaka huyu mwanamke aende mahali kutekeleza wajibu fulani akasema haendi hajisikii kutoka. Nikaumia kidogo lkn nikamezea. Baadaye akaniuliza "mahali kwenyewe ulitaka niende kufanyaje" nikamuambia asiende Tena Kule ambako ni mbali Bali aende kwingine karibu kunisaidia kulipa deni. Akanijibu "Naenda Yaani Basi Tu!" Katika sauti iliyoonyesha dharau kweli kweli.
Ikabidi nimuambie kamaa hataki kwenda aache tuu nitaenda mwenyewe na kumtaka aniandalie nguo. Baada ya Muda nikaingia chumbani nikakuta kaweka Suruali na mkanda anaendelea kutafuta nyingine. Huku natoka nje nikajisemea "niandalie nguo nzuri Ili nisherehekee Eid Huko huko (sio muislam Mimi though)".
Nikaendelea na shughuli nyingine nikisubiri niambiwe nguo tayari. Baada ya Muda namuona nje kabafikisha nguo tayari kwenda mjini ananiuliza "hiyo Hela Iko wapi nipeleke?" Nikampatia akapeleka.
Toka Jana najiuliza sana je ilikuwa Sahihi kunijibu vile Mimi Mume wake "naenda yaani basi Tu?"
Bado sijaliongelea hili suala nasubiri hasira ziishe na niwe na maswali mengine mawili matatu Yaa kumuhoji. Muda mwingine sioni Kosa kuliona ni lijanamke.
Ni vile sina mkono wakupiga mwanamke ningeshasambaratisha sebule.
Your fingers are not same size. Nilioa Ili niandaliwe nguo.Mpaka nguo unaandaliwa? Kuna wanaume wa hovyo Sana, kama Zina pasi na Zipo mahali pazuri zinaandaliwaje?
Hapana Mkuu. Jua kwamba kauli imenikera ila bado nimeizuia hasira. Na simchukulii kama mtumwa. Sikumbuki mara ya mwisho kumuagiza kwenda mahali zaidi ya hiyo siku.Inaonekana unamchukulia mkeo kama mtumwa fulani vile. Ungemuuliza sababu ukute ulishamtuma sehemu akanusurika kuliwa kimasihara akashindwa kukwambia sababu za gubu lako
Your fingers are not same size. Nilioa Ili niandaliwe nguo.
Secondly elewa Dharura. Si lazima nieleze nilichokuwa nafanya mchana huo. Ila Dharura nilivyokuwa nayo sikuwa na budi kumuagiza aende.
Sasa mkuu huenda alikuwa amechoka tu, hali ya uchovu na majukumu mbalimbali, kwani aliwahi kukufanyia hivyo hapo zamani? Usiwe mwepesi wa kusema ni dharau, wanawake wanachoka sana na majukumu ya nyumbani hivyo ukiona anasema hapana basi uchukulie katika hali ya kawaida,Wakuu,