Soka Ndio Maisha Yangu
Senior Member
- Nov 27, 2024
- 110
- 377
Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande wa mashtaka uwasilishe hoja ya kuzuia wananchi au kuwe na idadi maalum