Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 17,499
- 25,295
Ila hujalaani vikali UKUMBI WA MLIMANI CITY KUJAZWA WAKWEPA KODI NA WALANGUZI KINA SINGASINGA Ili waichangie CCM kwa fedha zao CHAFU??Kila inapofika kesi ya Lissu au ya Chadema lazima kutokee tafrani ya wafugaji na Polisi, huu ni mchezo wa kifala sana unaochezwa na Kitengo cha propaganda cha chama hicho ili watanzania tuamini kuwa chama hicho kinaonewa na kinapambania haki, kamanda Muliro usikubali uhuni wa namna hiyo, upande wa mashtaka uwasilishe hoja ya kuzuia wananchi au kuwe na idadi maalum
Na hujalaani IKULU KUTEKWA NA MAGENGE YA WALANGUZI?
Hilo wewe kwako sawa kabisa