prince zodiac
Member
- Jun 27, 2013
- 40
- 9
Dah! Washikaj mie pia nimebakiza NIT pekee na nimeomba faculty tatu, yaan kuanzia chaguo namba mbili mpaka nne, je ntapata chance kweli hapo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu prince zodiac dont blame... nafasi utapata! but if vigezo vipo... coz gan umechagua?Dah! Washikaj mie pia nimebakiza NIT pekee na nimeomba faculty tatu, yaan kuanzia chaguo namba mbili mpaka nne, je ntapata chance kweli hapo?
mkuu saidry, logistics ni course ambayo mwanzo mwisho imejaa mathematics kuanzia statistics, accounting, economics, finance, business mathematics na mengineyo.. please nakuomba usiwe na pressure coz kila kitu ni juhudi za mtu mwenyewe.. KUMBUKENI KUNUNUA SCIENTIFIC CALCULATORS!!!!!! moja kati ya koz nzuri basi ni hii!
Kama mimi mkuu, yani niliomba DIT na UDSM alafu pote sipo yani, na majina ya waliokosa sipo. Now nimetoka DIT kuangalia majina napo simo katika kozi nilo omba... yani nimebaki nashaa tu... ngoja niendelee na kazi maana huu ni uhuni...
sister claranjombo karibu sana nit.. naamini utapafurahia! vp ulichagua coz gan? kama upo tayari, sema nitafute room tupange pamoja! (mmh! just a joke!!)Jaman kumbe tupo wengi me mwenyewe nasubir NIT basi.Kama watanitosa na huko ndo basi but airtel day niliona nimepangiwa huko.
kijana mayb ubahatishe mtu wa kukubeba! lakn hostel kwa watu wa degree hamna.. hata hao wa certificate na diploma haziawatoshi! andaa kabisa shs laki 2 kwa ajili ya accomodation kwa semista.. bongo movieDah,me nimechaguliwa hapo kusoma bachelor degree in logistic and transport management.nilikuwa nawaza sana juu ya hosteli na msuli.kama ni hivo mbona MAJANGA SASA
kijana mayb ubahatishe mtu wa kukubeba! lakn hostel kwa watu wa degree hamna.. hata hao wa certificate na diploma haziawatoshi! andaa kabisa shs laki 2 kwa ajili ya accomodation kwa semista.. bongo movie
brother usiwe na wasi!! hostel za private zipo kibao sana kwa pembeni.. ama ww binafsi ukitaka kupanga unaweza pia... chuo kipo ubungo.! thats where so callled mabibo!sasa mkuu magheto yanapatikana karibu na chuo? Na hicho chuo kipo mitaa ya wapi?
brother usiwe na wasi!! hostel za private zipo kibao sana kwa pembeni.. ama ww binafsi ukitaka kupanga unaweza pia... chuo kipo ubungo.! thats where so callled mabibo!
jamani nakaribisheni maswali kwa wale wote ambao mnakuja hapa nit... iam ready to help you guys. cc clarachilombo, Daud omar, saidry na wengineo! ladies and gentlemen..., ....hostel kwa upande wetu sisi wa bachelor degree (na kama na wewe ni mtu wa bachelor jiandae kutafuta mjengo nje) .... kwa upande wa cerficate na diploma, hostel zilizopo hazikidhi mahitaji yenu pia, wanafunzi ni wengi sana ukilinganisha na idadi ya wanafunzi waliopo! ....VIP
Chuo Kina Wanafunzi Wangap Wote Kwa Ujumla? Hlf Mkuu Naomba Utusaidie Kwa Sisi Wa Degree Kuhusu Sehem Ya Kupata Chumba Na Gharama Zkoje