Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

Nalia na nacte...jaman vp n.i.t

Dah! Washikaj mie pia nimebakiza NIT pekee na nimeomba faculty tatu, yaan kuanzia chaguo namba mbili mpaka nne, je ntapata chance kweli hapo?
 
mkuu saidry, logistics ni course ambayo mwanzo mwisho imejaa mathematics kuanzia statistics, accounting, economics, finance, business mathematics na mengineyo.. please nakuomba usiwe na pressure coz kila kitu ni juhudi za mtu mwenyewe.. KUMBUKENI KUNUNUA SCIENTIFIC CALCULATORS!!!!!! moja kati ya koz nzuri basi ni hii!

mmmmmmmmmmh apo ndipo kudisco kunapoonekana kbl hujapata chuo....vp mgawanyo wa max upoje?? "C" inaanzia ngp??kuna uezekano wa kubadlisha course ukiwa chuoni!?????
 
Last edited by a moderator:
Kama mimi mkuu, yani niliomba DIT na UDSM alafu pote sipo yani, na majina ya waliokosa sipo. Now nimetoka DIT kuangalia majina napo simo katika kozi nilo omba... yani nimebaki nashaa tu... ngoja niendelee na kazi maana huu ni uhuni...

Eti niniii kwani DIT washatoaa?mbona kuna mdau yupo hapo na ananambia bado?au wazungumzia selection za DIPLOMA?hebu niweke sawa hapo mkuu
 
Ogi! tusitishane basi kwani huyo Galilava ndo nani 2umuogope km kifo.

Sasa ckia me nipo hapo BBA mpango wa hosteli ukoje?..
 
mim niliomba chuo kimoja kwa second round na nili meet vigezo!! coz enyewe ni.BBA xo fuul presha wajameni
 
Jaman kumbe tupo wengi me mwenyewe nasubir NIT basi.Kama watanitosa na huko ndo basi but airtel day niliona nimepangiwa huko.
 
jamani nakaribisheni maswali kwa wale wote ambao mnakuja hapa nit... iam ready to help you guys. cc clarachilombo, Daud omar, saidry na wengineo! ladies and gentlemen..., ....hostel kwa upande wetu sisi wa bachelor degree (na kama na wewe ni mtu wa bachelor jiandae kutafuta mjengo nje) .... kwa upande wa cerficate na diploma, hostel zilizopo hazikidhi mahitaji yenu pia, wanafunzi ni wengi sana ukilinganisha na idadi ya wanafunzi waliopo! ....VIPINDI kawaida tunaanza saa moja kamili asubuhi... but ratiba hutofautiana kulingana na darasa lenu limepangiwa vipi.. 2hrs each period! ...haya sasa kwa upande wa average.. 0-39 hiyo ni D... that means ukiwa hapo una sapu! 40-49 hiyo ni C..hiyo ni normal passmark.. 50-59 hiyo ni b-.. yani b plain! 60-69 hiyo ni B+.. angalau ufaulu uko juu! 70-100.. hiyo ni A... PASSMARK YA NIT NI 40% yani course work, out of 40 upate 16 (hiyo ni lowest ambayo itakufanya ufanye mtihani).. halafu kwenye final exam ambayo ina 60%, utaona sasa mwenyewe ufanye nini ili u meet qualifications! JAMANI KARIBUNI SANA NIT... masomo ya hapa si magumu sana kwa upande wetu sisi wa degree.. mtiti uko kwa diploma! lakini huku nako ukilegea inakula kwako!
 
Last edited by a moderator:
Jaman kumbe tupo wengi me mwenyewe nasubir NIT basi.Kama watanitosa na huko ndo basi but airtel day niliona nimepangiwa huko.
sister claranjombo karibu sana nit.. naamini utapafurahia! vp ulichagua coz gan? kama upo tayari, sema nitafute room tupange pamoja! (mmh! just a joke!!)
 
Last edited by a moderator:
Dah,me nimechaguliwa hapo kusoma bachelor degree in logistic and transport management.nilikuwa nawaza sana juu ya hosteli na msuli.kama ni hivo mbona MAJANGA SASA
 
Dah,me nimechaguliwa hapo kusoma bachelor degree in logistic and transport management.nilikuwa nawaza sana juu ya hosteli na msuli.kama ni hivo mbona MAJANGA SASA
kijana mayb ubahatishe mtu wa kukubeba! lakn hostel kwa watu wa degree hamna.. hata hao wa certificate na diploma haziawatoshi! andaa kabisa shs laki 2 kwa ajili ya accomodation kwa semista.. bongo movie
 
Last edited by a moderator:
kijana mayb ubahatishe mtu wa kukubeba! lakn hostel kwa watu wa degree hamna.. hata hao wa certificate na diploma haziawatoshi! andaa kabisa shs laki 2 kwa ajili ya accomodation kwa semista.. bongo movie

sasa mkuu magheto yanapatikana karibu na chuo? Na hicho chuo kipo mitaa ya wapi?
 
Last edited by a moderator:
sasa mkuu magheto yanapatikana karibu na chuo? Na hicho chuo kipo mitaa ya wapi?
brother usiwe na wasi!! hostel za private zipo kibao sana kwa pembeni.. ama ww binafsi ukitaka kupanga unaweza pia... chuo kipo ubungo.! thats where so callled mabibo!
 
jamani nakaribisheni maswali kwa wale wote ambao mnakuja hapa nit... iam ready to help you guys. cc clarachilombo, Daud omar, saidry na wengineo! ladies and gentlemen..., ....hostel kwa upande wetu sisi wa bachelor degree (na kama na wewe ni mtu wa bachelor jiandae kutafuta mjengo nje) .... kwa upande wa cerficate na diploma, hostel zilizopo hazikidhi mahitaji yenu pia, wanafunzi ni wengi sana ukilinganisha na idadi ya wanafunzi waliopo! ....VIP
Chuo Kina Wanafunzi Wangap Wote Kwa Ujumla? Hlf Mkuu Naomba Utusaidie Kwa Sisi Wa Degree Kuhusu Sehem Ya Kupata Chumba Na Gharama Zkoje
 
Last edited by a moderator:
ada kawaida ni tshs 0.95 million. vyumba vinapatikana kwenye hostel za jirani ambazo zinalipiwa kuanzia tshs elfu 40, 35 wengine vyumba viko mpaka 50 thousand.. so its just you to choose what you afford
 
Asante Sana bongo movie.ngoja waweke Majina Kwenye Website Hlf Ntakutafuta Utusaidie Mambo Mengne.
 
bongo movie inaonenekana unajua kila k2 mwana, upo mwaka wa ngapi brothor na facult gani?..
 
Last edited by a moderator:
kwn washatoa majina jamani???naona humu kuna mtu kasema amechaguliwa pale...kaona wap selection ake.. tujuzane plz
 
saidry mim hapa nimeona kupitia airtel, ndo maana najitamba sasa nasubiria official announcement 4rm NIT.. Kwhyo 2uombeane...
 
Back
Top Bottom