Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

Naliona anguko la Diamond linakuja kwa kasi

Na mwenye uzi huu hana habari ka diamond ndo habari yote ya mjini .. jama kisha fariki kwa roho yake mbaya
 
Uchawi sio kuruka na ungo usiku tu hata mtu kama ww ni mchawi
 
IVUMAYO HAIDUMU. KILA CHENYE MWANZO KINA MWISHO. WATAKUJA WENGINE HUWEZI UKATAMBA WEWE TU MAISHA YOTE. DUNIA INAZUNGUKA AKIANGUKA DIAMOND SI AJABU NDIOMZUNGUKO WA DUNIA. HAKUNA HASIRA HAKUNA KUSIKITIKA HAKUNA CHA KUSHANGAZA HAPA
 
awapi hamna kitu sasa iyo nyimbo yupo na hadija kopa si taarabu sasa mwanaume utaimbaje taarabu kama sio msengee baridi
Magwiji wa taraabu toka enzi hizo ni wanaume . Mfno. Issa mattona, Mzee Yussufu, Yule DOGO marehemu aliimba nichumu tena mwaa alukuwa a nakuja Juu nae. So acheni ushabiki wa siasa kwenye kazi za watu mbona kiba nae kaweka charanga humu ni vionjo tu na kuonyesha mashabiki wako jinsi unavyo weza kuwa changanyia. Naomba niseme ukweri KiBa ni Mwanamziki mzuri tena binafsi nimeanza kumsikia kiba kimziki tokea zamani toka maknuga yupo Vizuri na amekaa kwenye gemu mda. Ila mziki wa bongo wasanii wanakuwa na vipaji ILA mamenejar wake hawakuweza kucheza na fursa za kumtangaza na kumpa exposure kimataifa. Diamond alianza na mbagala tokea hapo akawa anatoa Vitu na Manager wake walio na fursa wakampa exposure DOGO Sana za nje na kumbuka diamondi kuna kitu aliwahi kuongea kuhusu mapromoter wakibongo wanavyo wanyonya wanamuziki na akaanza kufanyia kazi zake Nje South amefanikiwa Leo ana studio kubwa , ana lebo ( bland kubwa) soko lake limekuwa kubwa kimataifa angalia hata show anazofanya nje wanamkubari sana yaani kama kiongozi wa kisiasa . inachotakiwa kama kweli Sisi ni wapenzi wa muziki tusitengeneze bifu kati ya kiba na Diamond ILA tuwaunganishe ili kiba nae awe huu zaidi hata kama Diamond anatoka nje anaungana na kiba na kupiga show Pamoja tutakuwa tumewa jenga . we hadi hakuna single ya Pamoja kati ya kiba na Diamond ni Ujinga WAO mziki ndio kazi yao waungane wapige hiyo pesa kwa fursa hii iliyopo kabla fulsa haijapelekwa kwingine.
 
Mr. Nice alitoa somo, vijana wamepata discipline
 
Habari zikufikie kokote uliko bwana isho boy kuwa kijana anamiliki media sasa hivi, ana crewe ya A-list artist wa Tanzania na E.A na yeye ndiye king of East africa music
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Tukiachana na ushabiki Diamond siku hizi kaishiwa kabisa no ubunifu yaan ukisikiliza nyimbo anazotoa siku izi na zile za kitambo kuna utofauti mkubwa mno coz siku izi anatoa nyimbo mbovu sana na kinachombeba na kuendelea kusikika ni kuwa na fan base kubwa na video za god father lasivyo...?
We ndugu kwa roho hii.........hakika mbinguni utakusikia tu.
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Hii thread ya kichawi ina miaka minne sasa..watu wakamponda kijana wetu mara oh show hawezi kupiga tena kwa milioni kumi kashachuja Mond anawasalimia jamani show yake ya chini ni millioni 80,Pia msisahau ndio dominator wa game la muziki Afrika Mashariki na vinginevyo uchawi acheni jamani nyie watoto wadogo
 
Back
Top Bottom