Nalipa kodi TRA zaidi ya milioni tatu kwa mwezi, ni hasira sana ninapokuta umeme umekatika nyumbani

Hili swala sio la mzaha kuna jambo serikali wafanye kitu, umeme unashuda gani mbona mwendazake kulikua hakuna hili
 
Solar system ya kuanzia sh 7,000,000 mpaka 12,000,000; unatembea na vyombo vyote vya umeme kwa matumizi yetu ya kawaida.

Kama unatumia chini ya unit 200 kwa mwezi, solar system ndio mbadala sahihi, sio jenereta!
 
Wawape watu washindanie tenda kwa kutumia sheria ya manunuzi ya 2012 watoe zabuni ili tuwe na suppliers wengi wa umeme
 
Wananchi wengi ni masikini wa kutupwa ingawa nchi yetu ni tajiri.
 
Hili swala sio la mzaha kuna jambo serikali wafanye kitu, umeme unashuda gani mbona mwendazake kulikua hakuna hili
Huyu mama hapa amefeli pakubwa maana kila kitu kimekuwa business as usual.
 
Solar system ya kuanzia sh 7,000,000 mpaka 12,000,000; unatembea na vyombo vyote vya umeme kwa matumizi yetu ya kawaida.

Kama unatumia chini ya unit 200 kwa mwezi, solar system ndio mbadala sahihi, sio jenereta!
Asante mkuu, itabidi sasa tuhamie huku maana kuitegemea tanesco imekuwa ni maumivu.
 
Wawape watu washindanie tenda kwa kutumia sheria ya manunuzi ya 2012 watoe zabuni ili tuwe na suppliers wengi wa umeme
Tanesco inatakiwa ibakie kwenye usambazaji na uzalishaji yapewe makampuni mengine. Kila kampuni ipate malipo sawa na kiasi walichozalisha.
 
Tofautisha kulipa kodi na kulipa bili ya umeme. Kuna viwanda vinalipa kodi ya mabilioni na wana genereta.

Tulia..3m unafoooka...we vipi?

Hujui tofauti ya TRA na TANESCO ?
Nyie ndo majizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…