Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

MONEY 255

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2019
Posts
212
Reaction score
197
Habari Wana jamii forums

Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.

Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017 ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali ili kupata ujuzi.

Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.

Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.

NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho

Karibuni nyote.
 
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.

sarafu za mtandaoni haziitwi forex trading- ni cryptocurrency
 
Me watching someone finding easy money to bet the whole fam in one trade ili akipata faida kubwa na yy share ya 50% ake iwe kubwa.Any way labda wewe huna lengo hili ila 99% ya wanaojidai wanamanage accounts ndo tabia zao,kuna jamaaa alikuwa anajiita Born to fx alichoma million za 2 mdada wa watu af akapotea kwa group yule sister akaleta mrejeshp kuwa atamloga na atapata ajari mbaya sana.Kweli dada akatimiza ahadi ake tushampoteza account manager mmoja.

###RISK MANAGEMENT
 
Habari Wana jamii forum Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa...na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi ntakapo maliza masomo, ndioo nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali...ili kupata ujuzi.
Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.
Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.
NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho
Karibuni nyote.
1. Kwanini usitafute walau dola 50 tu ukaitrade taratibu na kuikuza mwenyewe?

2.

3.

4.

Anyway maswali ni mengi lakini mada yako haujaitolea maelezo kabisa na ukizingatia watu wamelizwa sana na huo mtindo wa kumanage acc kwa hiyo ungetuambia wewe unajitofautisha vipi na hao wengine walaghai.
 
Kuna trader mmoja kalogwa kafariki juzi alichoma million mbili za dada wa watu

RIP "Born to Fx"
Unajua sio Kila anaejiita __fx ni compitent trader...Kuna watu hawajui kwamba hawajui....rip born to fx
 
Back
Top Bottom