Namanage Account za Forex

Namanage Account za Forex

Kuna walimu wengi kwenye forex trading kuliko traders Wenyewe Sasa nipe sababu ya Kwanini nilipie darasa kwako na sio Kwa mentors wengine, n.b this is bussines nakukumbusha Ongea lugha ya kumshawishi mtu akupe Hela yake maana uchumi Wenyewe kama unavouona.. Aya Nakukaribisha[emoji120]

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Sijui kama umenielewa , unaweza kupewa investor password na account ya mtu mwingine , au unafikiri hilo haliwezekani?

Kuhusu mentor ni kweli siwezi kuhudumia watu wote , lazima kuna kugawana , wengine watakuja kwangu na wengine watahudumiwa na watu wengine , hali ipo hivyo mkuu
 
Kuna walimu wengi kwenye forex trading kuliko traders Wenyewe Sasa nipe sababu ya Kwanini nilipie darasa kwako na sio Kwa mentors wengine, n.b this is bussines nakukumbusha Ongea lugha ya kumshawishi mtu akupe Hela yake maana uchumi Wenyewe kama unavouona.. Aya Nakukaribisha[emoji120]

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app

Kuhusu kukushawishi kuja kujifunza kwangu naona unarudi kulekelule , ni kwamba mimi ninakukaribisha uje ujifunze endapo una uhitaji huo . Swali lako linafurahisha sana .

Halina tofauti na mgonjwa anayeenda hospitalini alafu anamuuliza daktari kwanini yeye amtibie na siyo daktari mwingine . Always mwenye kutoa huduma hujitangaza na muhitaji anachofanya ni kuifuata huduma endapo anaihitaji .

Wanaotaka kujifunza nawakaribisha sana . watanufaika na darasa , na ninaamini watakuja na shuhuda hapa
 
Sina chakusema zaidi shukrani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Online Business, Kuanza fanya kazi Upwork Ebook 3500
20220830_125423.jpg
 
weekend imeanza
 
Attachments

  • GBPJPY_2022-09-17_13-39-12.png
    GBPJPY_2022-09-17_13-39-12.png
    19 KB · Views: 22
Nimeifuatilia sanaa tu na hakuna hata mmoja aliyekuwa sawa in fact strategies zoote zinazotumika huwa zinakosolewa hii haimaanishi kwamba wanaokosoa wapo sawa la! Ni mtizamo wa mtu na mtu nikijiongelea mimi kama mimi nimezisoma na kuzitumia strategies nyingi sana ila hakuna inayoingia kila sehemu kama BTMM hii ni kwa mimi na imenipa faida kubwa sana sana sanaa.

Kingine ukichosema kuhusu kutokuwepo na solid strategy ambayo inatoa faida kuliko nyengine nakubaliana ma wewe ni kitendo cha uelewa wa mtu tu na ndicho nikichomjibu huyo nikiyem quote kwenye post zangu za nyuma ( fuatilia mjadala wetu) .

And usiwe unakimbilia conclusion bila kuj.ua background ya mjadala peace ✌️
Baada ya kusoma haya maelezo, Nikamkumbuka huyu Mwaba Bruce Lee
1735283606384.png

Nukuu
"I fear not the man who has practiced 10,000 kicks once, but I fear the man who has practiced one kick 10,000 times."
- Kitu tunachojifunza au nilichojifunza kuhusiana na Forex ni kuwa kila stratergy ina strength na weakness zake, ila ukikomaa na only one strategy mafanikio ni lazima, focused repetition leads to true mastery, hapo ndipo nukuu ya Mwamba inakuwa na mashiko.

Bruce Lee emphasized the importance of mastering a single technique through dedicated practice. He stated, "I fear not the man who has practiced 10,000 kicks once, but I fear the man who has practiced one kick 10,000 times." This quote underscores his belief that focused repetition leads to true mastery.
 
Habari Wana jamii forums

Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.

Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni katika kujiandaa kwamba nitafanya shughuli gani pindi nitakapo maliza masomo, ndio nilipokutana na hii biashara ya sarafu mtandaoni maarufu kama FOREX TRADING mwaka 2017 ndipo nilipoanza kujifunza mwenyewe bila msaada Wa mtu zaidi ya kupata taarifa mtandaoni na kupakua vitabu mbalimbali ili kupata ujuzi.

Baada ya kueleza hayo itoshe kusema natafuta mtu mmoja mwenye utayari wa kuwekeza katika biashara hii, kwa maana ya mimi natoa ujuzi wangu yeye anafungua Account, Kisha namanage account hio.

Mchanganuo wa mgawanyo wa faida: nitagawana asilimia 50 kwa hamsini na mwekezaji mfano kama mwekezajI kawekeza 500USD na tukapata faida ya 500 USD tutagawana 250USD Kila mmoja.

NB: Kima Cha chini 200USD na nahitaji watu watatu tuh wakitimia nitarudi kwa mrejesho

Karibuni nyote.
Toa performance record yako hapa..what is your win rate kwenye trades 300 ulizofanya.
Your performance graph is better than empty words.
 
Back
Top Bottom