Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Kuna walimu wengi kwenye forex trading kuliko traders Wenyewe Sasa nipe sababu ya Kwanini nilipie darasa kwako na sio Kwa mentors wengine, n.b this is bussines nakukumbusha Ongea lugha ya kumshawishi mtu akupe Hela yake maana uchumi Wenyewe kama unavouona.. Aya Nakukaribisha[emoji120]
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Sijui kama umenielewa , unaweza kupewa investor password na account ya mtu mwingine , au unafikiri hilo haliwezekani?
Kuhusu mentor ni kweli siwezi kuhudumia watu wote , lazima kuna kugawana , wengine watakuja kwangu na wengine watahudumiwa na watu wengine , hali ipo hivyo mkuu