Namanage Account za Forex



Sijui kama umenielewa , unaweza kupewa investor password na account ya mtu mwingine , au unafikiri hilo haliwezekani?

Kuhusu mentor ni kweli siwezi kuhudumia watu wote , lazima kuna kugawana , wengine watakuja kwangu na wengine watahudumiwa na watu wengine , hali ipo hivyo mkuu
 


Kuhusu kukushawishi kuja kujifunza kwangu naona unarudi kulekelule , ni kwamba mimi ninakukaribisha uje ujifunze endapo una uhitaji huo . Swali lako linafurahisha sana .

Halina tofauti na mgonjwa anayeenda hospitalini alafu anamuuliza daktari kwanini yeye amtibie na siyo daktari mwingine . Always mwenye kutoa huduma hujitangaza na muhitaji anachofanya ni kuifuata huduma endapo anaihitaji .


Wanaotaka kujifunza nawakaribisha sana . watanufaika na darasa , na ninaamini watakuja na shuhuda hapa
 
Sina chakusema zaidi shukrani

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
weekend imeanza
 

Attachments

  • GBPJPY_2022-09-17_13-39-12.png
    19 KB · Views: 22
Baada ya kusoma haya maelezo, Nikamkumbuka huyu Mwaba Bruce Lee

Nukuu
"I fear not the man who has practiced 10,000 kicks once, but I fear the man who has practiced one kick 10,000 times."
- Kitu tunachojifunza au nilichojifunza kuhusiana na Forex ni kuwa kila stratergy ina strength na weakness zake, ila ukikomaa na only one strategy mafanikio ni lazima, focused repetition leads to true mastery, hapo ndipo nukuu ya Mwamba inakuwa na mashiko.

Bruce Lee emphasized the importance of mastering a single technique through dedicated practice. He stated, "I fear not the man who has practiced 10,000 kicks once, but I fear the man who has practiced one kick 10,000 times." This quote underscores his belief that focused repetition leads to true mastery.
 
Toa performance record yako hapa..what is your win rate kwenye trades 300 ulizofanya.
Your performance graph is better than empty words.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…