Namanage Account za Forex

Najitofautisha kwa kutokuwa na porojo nyingi..basii and simlazimishi mtu namtanguliza Mungu nakufanyia nnachokiamini maana hata nilivyoioata edge/strategy najua mm na Mungu wangu
 
Not to b petty, lakini nkitafakri kwa mtu anaetrade since 2017, lazma sasa hivi amesha master trading to the highest level. Nnapoapata walakini n kwanin utafte kumanage account ya chini kuanzia 200 dollars,? Coz kwa experience ya 5 yrs in FX kutengeneza 200 usd per day ni kitu cha kawaida sana. Kwahyo business strategy yako inaleta walakini hasahasa in jf ambapo watu kibao washalizwa.
My idea is, fungua uzi mwingine ambao utatoa signals hadharani, and then investors will see how good you are and wataamua to invest in ur idea. Toafut na hapo n ngumu mtu kuweka pesa yake blindly.
 
Can you share your risk management rules nione kama zina matter kwang mm kama investor
Rule ni simple tuh position nnazofungua hazitakiwi kuzidi 2% of the equity na kwenye risk to reward ratio unahakikisha ni 1:3 easy...trading ni skills sio porojo mingimingi
 
Rule ni simple tuh position nnazofungua hazitakiwi kuzidi 2% of the equity na kwenye risk to reward ratio unahakikisha ni 1:3 easy...trading ni skills sio porojo mingimingi
Do you have nidhamu to follow them au na wewe ndo ukishakabidhiwa account unasema "liwalo na liwe kwanza hela sio yangu".You need to prove this
 
Thanx for the idea too....appreciate ntalifanyia kazi pia
 
Do you have nidhamu to follow them au na wewe ndo ukishakabidhiwa account unasema "liwalo na liwe kwanza hela sio yangu".You need to prove this
Discipline matters in all careers my friend...tamaa zilimuua fisi😂😂
 
Hakuna profitable trader Ambae utamkuta anasumbuka kutafuta account za kumanage wewe ni newbie una tafuta capital [emoji81][emoji81]
 
Forex sio rahisi hivo aisee...kumbuka ukisema vitabu umesomaa vingapii maana forex pekee inaweza jaza library na hakuna mtu anayeweza kujifunza mwenyewe library nzima...huna tofauti na wale wanaosema wanatoa fixed bet [emoji28]kitu ambacho hakipoo...kama kweli unawaza kutafuta pesa DO IT ON YOUR OWN! Forex haijaribiwi na pesa za watu!
 
Discipline matters in all careers my friend...tamaa zilimuua fisi😂😂
Me naona bwana manager apa ungefund account ako moja hata 10usd au 20usd wewe kama trader nadhani hushindwi hii hela alafu fungua uzi ukionyesha real progress unavoikuza hadi level flan hivi hata dola 500 kwa kufuata rules zako hivo hivo,atleast utakuwa umetoa walakini kwenye vichwa vya watu.Transparency matters
 
Hakuna profitable trader Ambae utamkuta anasumbuka kutafuta account za kumanage wewe ni newbie una tafuta capital [emoji81

Real trader hawezi kuchoma 1000usd kizembe tuh....huyo anakuwa mkamalia
 
Transparency matters lakini watakao iona ni wale walio tayari ambao ni watatu tuh sihitaji kujaza kibanda Cha mpira
 
Mm sio newbie ndugu...rules za risk management nazifahamu fika...
Haata wanaounguza wanazijua ama unajua kuwa hawazijui. Si ufanyie hela zako mkuu. Yaani jasho la mwingine uje risk. Pia uko registered wapi,Kuna mamlaka gani zinazokusimamia ikitokea umepoteza hela zangu.
Jaribu kujiunga na proprietary trading firm huko Wana hela watakupa hela zao u manage.naona na bongo tunaenda kuwa Pakistan,India, Bangladesh,sauzi afrika soon.
Hujaandika kuwa ukiwekeza $1000 utapata $4000 ndani ya saa 48.
Watu Kama nyie Sasa ndio mnaoifanya trading and investment inaonekana scam yaani Ni watu wanafanya kitu kionekane Ni kibaya Ila kitu Chenyewe sio kibaya.
 
Hahahhahahah
 
Freedom of speech 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…