KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ni kichaa peke yake ndiye anayeweza kuendelea kutaka kumdhuru Tundu Lissu.Huyu jamaa alindwe sana
Bahati mbaya tunao vichaa nchi hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kichaa peke yake ndiye anayeweza kuendelea kutaka kumdhuru Tundu Lissu.Huyu jamaa alindwe sana
Haguswi!Huyu jamaa alindwe sana
Kuna mtu akiona hizi picha au kusikia habari hizi, huko aliko anazidi kufura licha ya Tume kutokuwa huru.
Hivi wataandikisha tena?Mi ninacho akigombea napiga kura,asipogombea sipigi kura!
Na maajabu makubwa zaidi ni pale mtu huyu anapopona licha ya kumiminiwa risasi zote zile.
Dereva angepata vipi mchubuko wakati wahalifu walikua wanajua wanaye mtaka yuko seat ya abiria?Umesahau na dereva hakupata hata mchubuko na kumtorosha kabisa
Hili swali inafaa dereva atujibuDereva angepata vipi mchubuko wakati wahalifu walikua wanajua wanaye mtaka yuko seat ya abiria?
Halafu huwa wanahoji kwanini aliumia mguu wa kulia badala ya mguu wa kushoto.Lakini hawajiulizi ,wakati kiti kimelazwa je TL alilala chali au kifudi fudi? Kama alilala chali basi risasi zingeharibu mguu wa kushoto zaidi, lakini kama alilala kifudi fudi kuficha uso ndio maana mguu ulichakazwa wa kulia.
Dereva ,alikua hospital ya mkoa Dodoma,toka saa 7 mchana hadi saa 8 usiku wakati ndio TL anaondoshwa Dodoma,masaa 13 baada ya ajali, ina maana Uchunguzi ulikua haujaanza masaa 13 baada ya tukio, kama ulikua umeanza walianzia kwa nani wakati dereva ndiye mtu alikua na TL kabla ya ajali na wakati wa ajali?
Au ndio uchunguzi ulianzia kwenye uondoaji wa CCTV Camera kwenye eneo la tukio? Haya masuala yakikosa majibu duniani, majibu yake yatapatikana hata mbinguni!
Edit comment yakoRais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Tundu Antipasi Lisu........God bless u
Huna hoja kapuku we !Umesahau na dereva hakupata hata mchubuko na kumtorosha kabisa
Taratibu manka!!!Huna hoja kapuku we !
Mbona hata shemeji kasema kura yake kwa Lissu. Umebaki wewe tu katika hiyo familia kwa kuwa tayari umepokea kofia na tshirt zile za kijani kama zawadi kwa miaka mitano ijayohakuna haja ya ulinzi! Mnyampaa tayari ameumia hana sifa za urais!! nani atampigia kura? wewe?
Huyo ameshashindwa kabla hata hajajaza fomuMkurugenzi wa Uchaguzi CHADEMA(kulia), akimkabidhi Fomu ya Kuomba Uteuzi Kugombea Nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Wakala wa Mhe. Tundu Lissu, David Jumbe, leo Jumamosi 04/07/2020, Makao Makuu ya Chadema, Kinondoni, Dar es Salaam.
View attachment 1497296
Barua ndo inachukua Fomu? Mbona una akili za kitotoUraisi una wakala!!!! Mtu haendi personally eeee hii Kali
Ile barua Lisu aliandika kuomba kuteuliwa Uraisi kazi yake ilikuwa Nini?