Hawaibiwi chadema tuKila uchaguzi CCM wanaiba, kila uchaguzi chadema wanaibiwa. Na mwaka huu Tena CCM wanaiba chadema wanaibiwa.
Wajitoa fahamu? Angekuwa ameteuliwaje ukurugenzi ZEC?Km amejiunga na Ccm baada ya 2016 je?
Umri nao unaanza kumtupa mkonoJecha kachakachua mpaka maelezo.anakwambia alikua mwenyekiti wa tume kuanzia mwaka thelathini na nane,arobaini,mojatisamiaaaaa,,,,1915 mpaka 1918.
Kweli jasiri aachi asili.
Shkamoo jecha.
Nchini zanzibarNchi , mkoa ?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jecha kama Jecha! Mzee wa kuchomoa betri.Unajua ukiangalia sana maamuzi aliotoa kipindi kile akiwa mwenyekiti wa tume kule Zanzibar ya kukataa ushindi wa Maalim Seif na uchaguzi kurudiwa ule uzalendo wa ukomavu wa kutetea Zanzibar yao isichukuliwe na upinzani ulikuwa ni uzalendo kweli kweli.
Hivyo msishangae hata hao wanaohisiwa kuwa kati yao mmoja ndie huenda ikawa akapewa nao wakapatwa na mshangao.
View attachment 1486177
Wakati ukuta,sote tunaelekea huko
Asee we jamaa mungu anakuona, yani saa nane usiku huu nimecheka kwa nguvu hadi nilonao kibaruani wamestuka,38,4100Jecha kachakachua mpaka maelezo.anakwambia alikua mwenyekiti wa tume kuanzia mwaka thelathini na nane,arobaini,mojatisamiaaaaa,,,,1915 mpaka 1918.
Kweli jasiri aachi asili.
Shkamoo jecha.
Unajua ukiangalia sana maamuzi aliotoa kipindi kile akiwa mwenyekiti wa tume kule Zanzibar ya kukataa ushindi wa Maalim Seif na uchaguzi kurudiwa ule uzalendo wa ukomavu wa kutetea Zanzibar yao isichukuliwe na upinzani ulikuwa ni uzalendo kweli kweli.
Hivyo msishangae hata hao wanaohisiwa kuwa kati yao mmoja ndie huenda ikawa akapewa nao wakapatwa na mshangao.
View attachment 1486177