Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

Ushahidi mwingine Tume za Uchaguzi sio huru!! Wanachaguliwa wanachama waaminifu kuziongoza!

Haiwezekani Jecha hakuwa mwanaCCM mwaka 2015 kwa maamuzi aliyochukua. Na haiwezekani alikuwa mwanachama baada ya kuondoka Tume na ni mwanachama mchanga, awe pia tayari ana support ya kugombea uRais kupitia CCM

a) Jaji Mkuu Augustino Ramadhan
b) Jecha - Mwenyekiti ZEC
c) Stephen Zelothe - RPC Mwanza

So sad!!
 
Natamani apatikabe ntu ataye dai uhuru kamili wa Zbar kutoka Tanganyika. Ile nchi itaendelea sana ikiwa huru na Tanganyika itafaidi sana na kukua kiuchumi kwakuwa Dubai itakuwa imesogea karibu. Tuache ujinga na upumbavu wa kusema eti Sultani atarudi kutawala. Huo ni upumbavu kabisa kufikiria hivyo na mwenye mawazo hayo ni mpumbavu kabisa
 
Unajua ukiangalia sana maamuzi aliotoa kipindi kile akiwa mwenyekiti wa tume kule Zanzibar ya kukataa ushindi wa Maalim Seif na uchaguzi kurudiwa ule uzalendo wa ukomavu wa kutetea Zanzibar yao isichukuliwe na upinzani ulikuwa ni uzalendo kweli kweli.

Hivyo msishangae hata hao wanaohisiwa kuwa kati yao mmoja ndie huenda ikawa akapewa nao wakapatwa na mshangao.

8e3747ccbd87f9ea367d6f32d502de49.jpg
 
Jecha kachakachua mpaka maelezo.anakwambia alikua mwenyekiti wa tume kuanzia mwaka thelathini na nane,arobaini,mojatisamiaaaaa,,,,1915 mpaka 1918.

Kweli jasiri aachi asili.
Shkamoo jecha.
Umri nao unaanza kumtupa mkono
 
Unajua ukiangalia sana maamuzi aliotoa kipindi kile akiwa mwenyekiti wa tume kule Zanzibar ya kukataa ushindi wa Maalim Seif na uchaguzi kurudiwa ule uzalendo wa ukomavu wa kutetea Zanzibar yao isichukuliwe na upinzani ulikuwa ni uzalendo kweli kweli.

Hivyo msishangae hata hao wanaohisiwa kuwa kati yao mmoja ndie huenda ikawa akapewa nao wakapatwa na mshangao.

View attachment 1486177
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Jecha kama Jecha! Mzee wa kuchomoa betri.

Jecha for president 2020 - 2025
 
Jecha kachakachua mpaka maelezo.anakwambia alikua mwenyekiti wa tume kuanzia mwaka thelathini na nane,arobaini,mojatisamiaaaaa,,,,1915 mpaka 1918.

Kweli jasiri aachi asili.
Shkamoo jecha.
Asee we jamaa mungu anakuona, yani saa nane usiku huu nimecheka kwa nguvu hadi nilonao kibaruani wamestuka,38,4100
 
Mzee Jecha SHIKAMOO umeludi kwa kishindo kwa awamu nyingine...nani kama Jechaaa...
 
Mkuu ninahisi umekengeuka katika utabiri wako huo.

Leo hii unewasahau Ccm wachoyo wa fadhila wanavyoweza kumtumia mtu kama ganda la muwa?

Tena wakijua wazi fitina zao unazielewa kindaki ndaki, hawawezi kukuachia ulimege tonge kisha ulitie kwenye mchuzi halafu ulile!

Utalimega vizuri tu, lakini kabla haujalichovya kwenye mchuzi, watahakikisha limekudondoka mikononi mwako, ili ujihisi mwenyewe kwamba u mzembe wa kula!

Hebu vuta hisia kidogo kwa Lowasa, mzee wa fitina ilikuwaje?

Huyo Jecha ni kenge anayeogelea kwenye kundi la mamba.

Utakuja nambia mapema kabisa kwenye 'chekeche' la awali.
 
Unajua ukiangalia sana maamuzi aliotoa kipindi kile akiwa mwenyekiti wa tume kule Zanzibar ya kukataa ushindi wa Maalim Seif na uchaguzi kurudiwa ule uzalendo wa ukomavu wa kutetea Zanzibar yao isichukuliwe na upinzani ulikuwa ni uzalendo kweli kweli.

Hivyo msishangae hata hao wanaohisiwa kuwa kati yao mmoja ndie huenda ikawa akapewa nao wakapatwa na mshangao.

View attachment 1486177

Kwa hiyo ubinafasi na kutokufuata katiba ndo uzalendo? Na ndo kigezo cha Kuwa rais? Kweli na wachawi wapo, haiwezekani tumekuwa wapumbavu wa kiwango cha lami
 
Back
Top Bottom