Chadema mwenyeweKwani ameteuliwa au ameomba kuteuliwa? CHADEMA mnakwama wapi?
Atajitangaza mwenyew huyu na uchaguzi hautarudiwa[emoji16][emoji16]View attachment 1484300
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM.
Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni.
Maoni yangu:
Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa uchaguzi ambao ni wakurugenzi watatenda haki kweli? Kwani wote ni makada ukimjumlisha na yule alieteuliwa jana.
Duh...!.Kuna dalili kubwa kuwa Tume zetu za uchaguzi sio huru.
Unaposikia aliyekuwa jaji mkuu au Mwenyekiti wa tume ya uchanguzi anagombea nafasi ya uongozi kupitia chama fulani inamaanisha alikuwa hatendi haki kwenye nafasi aliyokuwa nayo hasa kwa wanasiasa wa vyama vingine.
Mungu atawaona
Mbona maandishi ya begi hili na hili tofauti?View attachment 1484300
Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM...
Yani nimecheka sana komredi jecha nae ndani da hii nchi tamu sana sijutii kuwa mtanzania
[emoji23][emoji23]Atajitangaza mwenyew huyu na uchaguzi hautarudiwa[emoji16][emoji16]
Jecha huyu huyu angekuwa ameenda kuchukua fomu kupitia Chadema au chama kingine cha upinzani mngefurika hapa na kudai CCM imeisha kwa sababu Jecha kawaletea siri za kushinda uchaguzi.
Wanasheria mtusaidie kipande hiki kutoka katika katiba ya Zanzibar...
Mkuu maendeleo gani tena unayoyasubiria miaka 1000 kwenda mwezini au? Haya maendeleo anayofanya JPM huyaoni au!Duh nchi hii kuja kupata maendeleo itachukua miaka 1000.
Kwahiyo huwa wanajiunga na chama hicho uzeeni mara tu baada ya kuzeeka. Hata tuseme nn sisi waafrika hatuna akili timamu. Bado tuko kwenye stage ya kupigania kupata physiological/basic needs Kama vile kula, kulala, sex, labda na kucheza ngoma, kuimba, na kucheka kinafiki. Tuko kwenye stage ambayo maua, cards za pongezi na get well soon, kupigiwa makofi na kuandikiwa barua ya pongezi na meajiri wako sio zawadi zitufurahishazo na motisha. Tuko kwenye stage ya ukiumwa unataka uletewe wodini pesa za matumizi, chakula, vinywaji na matunda na sio cards za get well soon na maua.Akistaafu anaruhusiwa kujiunga na chama chochote cha siasa Mkuu
Kachoka na maisha? Athubutu kutumia karata hio kama amechoka na maisha. tutapishana nae darajani anaokota makopo.Atawakomesha huyu wasimuamini sana, atawaambia ole wao wamkate jina Dodoma anatoa siri zote za 2015
Kitendo cha Jecha kuchukua fomu ya Urais wa Zanzibar kimefanya wagombea wote wa ccm kudhaurika vibaya sana mbele za ummaPengine amejitokeza kutokana na sababu za kimkakati. yawezekana amemambiwa achukue fomu. hatuwezi jua
Wanafanya masikhara sana hao watu!!Yani nimecheka sana komredi jecha nae ndani da hii nchi tamu sana sijutii kuwa mtanzania
leo chadema inakuwa kioo kwa ccm,dah akili hizi!Lowasa alijiunga Chadema jumamosi, jumatatu akateuliwa mgombea wa Urais