mheshimiwamtemi
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 291
- 218
Kama ComoroKukua kwa demokrasia,hii nchi ingejitegemea ingekuwa mbali Sana kimaendeleo
Wazenjibari amkeni
Usiwe na Shaka Mkuu.Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo
Kweli, kwa JMT huyo ni waziri asiye na wizara maalum na huingia kwenye baraza la mawaziri.Rais wa Zanzibar ni kama waziri tu huku
Rais wa Zanzibar ni kama waziri tu huku
Au zinatoka bureNadhani fomu hizo ni elfu tano!
Nami ni Mtanganyika sikubaliani na huu muungano.Ila kusema Znz itapata maendeleo zaidi baada ya kujitenga na Tanganyika ni kujidanganya.Ni hilo limefanywa makusudi ili ionekane znz ni inferior territory mbele ya mkoloni mweusi. Msione kuwa mambo hayabadilili. Kutatokea vuguvugu kubwa sana la kudai Zanzibar nationalism and history will tell. Tunaumia tukiona kuwa ukoloni huu unavyodumaza development kule kwetu. we lost our country, culture, history, identity na mengionetel.
Naililia znz
Bashiru anasemajeKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo
------
Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi leo jumla ya watia nia 26 wamechukua fomu ambapo wanawake ni 3 na wanaume 23.
Kwa hali hii idadi inaweza kuongezeka.
Swali langu siku zote ni; Je, hii idadi kubwa Zanzibar ni kupabuka kwa demokrasia au kupungua kwa uaminifu baina ya viongozi?
Asante
Halafu mtu anayetakiwa atateuliwa na system Chamwino. Wazenj bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli ipo siku, generation itaamuaNi hilo limefanywa makusudi ili ionekane znz ni inferior territory mbele ya mkoloni mweusi. Msione kuwa mambo hayabadilili. Kutatokea vuguvugu kubwa sana la kudai Zanzibar nationalism and history will tell. Tunaumia tukiona kuwa ukoloni huu unavyodumaza development kule kwetu. we lost our country, culture, history, identity na mengionetel.
Naililia znz
Bashiru Ally alisema hawa watu wanataka kuharibu chama chetu cha mafisadiKada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo
------
Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi leo jumla ya watia nia 26 wamechukua fomu ambapo wanawake ni 3 na wanaume 23.
Kwa hali hii idadi inaweza kuongezeka.
Swali langu siku zote ni; Je, hii idadi kubwa Zanzibar ni kupabuka kwa demokrasia au kupungua kwa uaminifu baina ya viongozi?
Asante
Hata ya Urais wa JM kupitia CCM ingekuw sh ngapi watu wangechukuwa sema imeprintiwa moja.Au zinatoka bure