Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo
------
Tunaweze kusema historia imevunjwa. Hadi leo jumla ya watia nia 26 wamechukua fomu ambapo wanawake ni 3 na wanaume 23.
Kwa hali hii idadi inaweza kuongezeka.
Swali langu siku zote ni; Je, hii idadi kubwa Zanzibar ni kupabuka kwa demokrasia au kupungua kwa uaminifu baina ya viongozi?
Asante