NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Wengine wanaenda kutia nuksi tu, kwani siwakae watulie wametosha sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami ni Mtanganyika sikubaliani na huu muungano.Ila kusema Znz itapata maendeleo zaidi baada ya kujitenga na Tanganyika ni kujidanganya.
Let's talk reality.... CCM katika mchakato Urais bara mambo yako wazi hasa awamu ya pili ya mgombea aliyeshinda awamu tangulizi. Mgombea huyo atapita bila kupingwa ila atachukua fomu kuomba udhamini (kuaminiwa) kwa uanachama (hii ni kanuni)Hata ya Urais wa JM kupitia CCM ingekuw sh ngapi watu wangechukuwa sema imeprintiwa moja.
Zanzibar ilikuwa imeendelea Sana kiuchumi kabla ya Mapinduzi ya 1964..Nami ni Mtanganyika sikubaliani na huu muungano.Ila kusema Znz itapata maendeleo zaidi baada ya kujitenga na Tanganyika ni kujidanganya.
Hizo empire zipo wapi sahivi?Zanzibar ilikuwa imeendelea Sana kiuchumi kabla ya Mapinduzi ya 1964..
Sasa unataka kuniambia kuwa maendeleo iliyopata Zanzibar wakati wa utawala wa Sultan yaliletwa na Tanganyika?..
Muungano umeirejesha Zanzibar nyuma kimaendeleo,kwa huu wakati tulionao,bidhaa kutoka Pakistan au Dubai inauzwa kwa bei rahisi pale Zanzibar kuliko inayotoka Tanganyika...
Zanzibar ilikuwa imeendela Sana kiuchumi kabla ya Mapinduzi ya 1964..
Sasa unataka kuniambia kuwa maendeleo iliyopata Zanzibar wakati wa utawala wa Sultan yaliletwa na Tanganyika?..
Muungano umeirejesha Zanzibar kimaendeleo,huu wakati tulionao,bidhaa kutoka Pakistan au Dubai inauzwa kwa bei rahisi pale Zanzibar kuliko inayotoka Tanganyika
Sultan aliifanya Zanzibar Kuwa Empire,Wanamapinduzi wameifanya Zanzibar iwe ombaomba..
By the way Duniani Kuna kulikuwa na Empire nne tu, Zanzibar ikiwa moja wapo..
Kwa Majina Kulikuwa na Roman Empire, British Empire,Otuman Empire na Zanzibar Empire..
Tafakari,...
Magu anasema kama nuksi inatiwa baada ya kulipia Mil2 basi tuende hata Mil1wengine wanaenda kutia nuksi tu.kwani siwakae watulie wametosha sasa.
Hizo empire zipo wapi sahivi
Naichukia ccm, lakini kama Dubai wangekuwa na akili Kama zako wasingekuwa Kama walivyo sasaNi hilo limefanywa makusudi ili ionekane znz ni inferior territory mbele ya mkoloni mweusi. Msione kuwa mambo hayabadilili. Kutatokea vuguvugu kubwa sana la kudai Zanzibar nationalism and history will tell. Tunaumia tukiona kuwa ukoloni huu unavyodumaza development kule kwetu. we lost our country, culture, history, identity na mengionetel.
Naililia znz
wanapoteza ladha ya ushindani.wengine wasubiri wagombee uwakilishi ama ubunge na udiwani.Magu anasema kama nuksi inatiwa baada ya kulipia Mil2 basi tuende hata Mil1
Kulinganisha {Rome,Great Britain,Ottoman} na utawala wa Zanzibar ni kichekesho cha mwaka!Hazipo Tena.. hazipo kwasababu Dunia imekuja na mtindo mpya wautawala..
Roman Empire,hawa walikuwa Wataliana,British Empire hawa walikuwa Waingereza,Otuman Empire hawa walikuwa Waruruki,Zanzibar Empire hawa Walikuwa Waswahili wa Zanzibar
Chakushangaza Nchi zote nilizozitaja hapo juu ziko vizuri isipokuwa Zanzibar
Je tuseme kwasababu Waafrika hatuwezi kujiongoza,au kuna sababu nyengine..
Tafakari...
Hata karanga hakuna za bure,au hujui ya kale hayapo?Au zinatoka bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nadhani fomu hizo ni elfu tano!
Toka zako hapo!Rais wa Zanzibar ni kama waziri tu huku
Huyu dada mzuri wasifu wake ni upi?.Jee ana mume.Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Fatma Kombo Masoud amekuwa mwanamke wa tatu kujitokeza kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea urais wa #Zanzibar
Fatma anafanya idadi ya watia nia kupitia Chama cha Mapinduzi hadi sasa kufikia 26 visiwani humo
Wapi na niende wapi?Toka zako hapo!
Tulia hivyo hivyo uendelee kutafunwawengine wanaenda kutia nuksi tu.kwani siwakae watulie wametosha sasa.
Hicho ambacho kipo wazi ni utamaduni au katiba ?Let's talk reality.... CCM katika mchakato Urais bara mambo yako wazi hasa awamu ya pili ya mgombea aliyeshinda awamu tangulizi. Mgombea huyo atapita bila kupingwa ila atachukua fomu kuomba udhamini (kuaminiwa) kwa uanachama (hii ni kanuni)